Msaada wale wazee wa android ROMS na style za flash zipi

anonymousafrica

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2016
Posts
611
Reaction score
641
natumia galaxy note 1 ambayo ni ya kikorea shv-e160 k
4.1.3 version
nilikua na shida kuipeleka lollipop ila njia nnayoijua mimi ni kupitia odin
leo nimedownload firmware 800mb ila kabla sjaanza kazi nimechunguza kwa makini inabidi nitumie njia ya
TRU CWM AMBAYO KWANGU NI NGENI SIIJUI KABSA

NAOMBENI MSAADA WATAALAM WA HAYA MAMBO JAMANIII
 
kwa kupitia odin ni ngumu kidogo kuweka custom roms hivyo labda utumie custom recovery kama CWM au TWPR ila be careful matatizo yanayoweza kujitokeza ni bootloap,baseband unknown,au imei unknown au serious bug hivyo angalia rom vizuri jilizishe kabla hujaweka
 
Kama official firmware kwa nini utumie Recovery Tools. Nina wasi wasi inawezekana hiyo ni custom rom.

Sent from my H6 using JamiiForums mobile app
 
odin kwangu ni simple
ila hii CWM NI NGENI KABISA
em naomba unielekeze bro maana hii rom nliyodownload inaniforce nitumie njia hiyo
nikitumia njia ya odin ile rom niliyoextract inapotea siioni kabsa
 
Kama official firmware kwa nini utumie Recovery Tools. Nina wasi wasi inawezekana hiyo ni custom rom.

Sent from my H6 using JamiiForums mobile app
sio official kk
hii shv ya kikorea imebanwa sana... nimeingia hata samsung hakuna rom zake
nimeipata xda huko yenye lollipop na kila comment wanamsifu aliyeituma

ila anasema haifanyi kazi bila CWM NA SIO ODIN NJIA NNAYOITAMBUA
 
ndio maana nimekuambia kuflash custom rom kwa odin ni ngumu ndio maana wamekuambia utumie custom recovery CWM
 
Msaada na mm kwwnye uzi huu,mie pia natumia simu ya kikorea aina ya samsung note 4 .ila.haikubal kutumia m pesa na tigo pesa. Inawezekana kufanya ma utundu
 
eka app ya tigo pesa toka playstore
 
Hivi kama nina galaxy A8 nataka niitoe lolpop niipe marshmallow nafanyaje? Mimi ni mgeni wa haya mambo msaada plz
 
natumia galaxy note 1 ambayo ni ya kikorea shv-e160 k
4.1.3 version
nilikua na shida kuipeleka lollipop ila njia nnayoijua mimi ni kupitia odin
leo nimedownload firmware 800mb ila kabla sjaanza kazi nimechunguza kwa makini inabidi nitumie njia ya
TRU CWM AMBAYO KWANGU NI NGENI SIIJUI KABSA

NAOMBENI MSAADA WATAALAM WA HAYA MAMBO JAMANIII
1. eka link ya hio firmware
2. custom rom haiwekwi na odin utahitaji recovery kama twrp na cwm

-hakikisha simu umeroot
-hakikisha una twrp au cwm umeflash kwenye simu
-eka custom rom
 
a8 ipi? nenda setting then about kuona model yake
a7bffa586adb8e01d7854d3e378de520.jpg

detail zake hizi apa kk
 
1. eka link ya hio firmware
2. custom rom haiwekwi na odin utahitaji recovery kama twrp na cwm

-hakikisha simu umeroot
-hakikisha una twrp au cwm umeflash kwenye simu
-eka custom rom
nilichukulia kwenye pc kk
naaam hata me naona hivyo ila shda kubwa ni jins ya kupata hyo recovery kama cwm
sjui itakaa vp kwenye phone
 
Back
Top Bottom