SYSTEM UI YA TECNO J8

SYSTEM UI YA TECNO J8

ney kush

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2012
Posts
1,422
Reaction score
955
habari wakuu

Kuna tatizo nimepata kwenye tachno boom j8 yangu .. niliiroot simu yangu hii na ikawa rooted vizuri kabisa,sasa nikainstall app inaitwa romtoolbox ile niweze kufuta whatsapp kwasababu ilikua kwenye system yao wenyewe, nikafanikiwa , sasa nikapata wazo lingine la kubadili system ui ,ambayo ilikuepo ni lollipop nikaiweka system ui ya marshmallow hapo ndio tatizo likaja ... notification bar haipo yan haionekani, na zile recent,home,back icons hazitokei yani hazipo , SASA NAOMBA MSAADA KWA ANAEFAHAMU KUHUSU HILI, AU MWENYE SYSTEM UI YA LOLLIPOP YA J8 ANISAIDIE TAFADHALI ....SHUKRAN
 
Pole sana!
Ulifanya rooting kwa app ipi? Mimi nimejaribu kwangu imegoma kwa kutumia Kingroot.

Labda ambacho naweza kukushari tu ni kwamba tafuta STOCK ROM ya BOOM J8 then flash simu yako kwa kutumia SP FLASH TOOL. Then fanya system update simu itakuwa vzr.
 
niliroot kwa kingroot ... kama unataka kuruti tumia kingroot version 4.19 inaroot ila kwa kulazimisha ,yan u try mara tatu nne utashangaa inaroot
 
Pole sana!
Ulifanya rooting kwa app ipi? Mimi nimejaribu kwangu imegoma kwa kutumia Kingroot.

Labda ambacho naweza kukushari tu ni kwamba tafuta STOCK ROM ya BOOM J8 then flash simu yako kwa kutumia SP FLASH TOOL. Then fanya system update simu itakuwa vzr.
shukran mkuu let me try that way
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom