goodhearted
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,049
- 1,344
kama nilivyotambulisha tatizo hapo juu. simu yangu aina ya huawei y520 batani zake ni ngumu sana kuditect yaani inabidi nitumie nguvu kuzipress
tatizo lawezakuwa nini na vp kuhusu solution, pia hali ya kujizima na kuwaka yenyewe pia yaweza kuwa tatizo nini
tatizo lawezakuwa nini na vp kuhusu solution, pia hali ya kujizima na kuwaka yenyewe pia yaweza kuwa tatizo nini