Ni nzuri sana!
Android TV box primarily watu wanazitumia kuangalia IPTV na kwa hapo unakua na double advantage sio tu kutumia Kodi ambayo ina changamoto zake, bali unaweza kufaidi Android applications mfano kama Mobodro ambayo ni popular na ni "internet bundle friendly" ukilinganisha na android apps nyingine ila hii reason ni valid tu kama unatumia net za kupiwa na vibaba!
Ni nzuri sana naona watu huwa wanaunganisha Simu zao na TV ila ki ukweli Simu nazo zina mambo mengi,Unaweza kuwa unacheki TV mtu akakupigia na connections zikapotea au pia unaweza kuwa unacheki TV at the same unaitaji kuwasiliana,hivo hivi vidude ni muhimu sana!
Besides hiyo Mobodro kuna Android apps nyingi kuanzia free mpaka paid!
Incase ukifanikiwa kununua waweza pitia hii link ime List apks kibao za Bure
Index of /apk
View attachment 432303