Naomba msaada wataalamu

Tomahawk

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
234
218
Nimedowload GTA V ili niweze cheza kwenye PC na nikainstall vizuri ila kila nikitaka kucheza inaniambia hii version sio kwa PC yangu nitafute version itakayoendana na PC yangu..nimeambatanisha na picha ya jinsi inavyoniambia je nifanyeje watalaamu..naomba msaada wakuu..
1462250182245.jpg
1462250195307.jpg
1462250205397.jpg
1462250212129.jpg
1462250222527.jpg
 
Download version ya pc yako.

Andika jina la pc na udownload hiyo software.
PC yangu ni Dell inspiron N5050, nidownload software ipi mkuu? Hii ni game niliyoidownload sasa nataka icheze kwa PC yangu ila inagoma ndo inaniambia ivyo kama izo picha zinavyojieleza hapo juuu
 
Hapo unatumia windows gani? Bila shaka ni 10? Angalia pia, edition ipi, kama ni home pro nk, kabla ya pc hiyo uliicheza game hiyo kwenye pc gani? Match the specs, au download mzigo mpya
 
Ni kweli ni window 10 mkuu, sijawahi cheza hii GTA 5 kwenye hii window, ni download mzigo gani upya mkuu?
 
usihangaike kudownload kitu chengine hapo nafkiri hujatimiza masharti ya gta 5.

nenda my computer (this pc kwenye windows 10) halafu right click then nisomee full name ya processor na ram au piga picha eka hapa
 
Tatizo linaweza kuwa specs za pc yako
system requirement za hilo game zinaendana na za pc yako?

  • OS: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1.
  • Processor: Intel Core i5 3470 @ 3.2GHZ (4 CPUs) / AMD X8 FX-8350 @ 4GHZ (8 CPUs)
  • Memory: 8GB.
  • Video Card: NVIDIA GTX 660 2GB / AMD HD7870 2GB.
  • Sound Card: 100% DirectX 10 compatible.
  • HDD Space: 65GB.
  • DVD Drive.
  • je pc yako inaendana na hizo sys req
  • au fanya detection ya pc yako
  • download hii software Desktop App | Download | Computer information | System information
  • kisha ingia hapa Grand Theft Auto V Requirements Test
  • utajua kama pc yako inaweza kuchiza game hilo
 
hapa umenikumbusha kitu seems jamaa ana windows ya 32bit ndio maana game limekataa kulaunch

mwanzisha mada cheki kama pc yako ni 32bit au 64bit kwanza kama ni 32bit google gta v 32bit crack kuna patch nafkiri
 
Nikweli unachosema chief mkwawa maana hili game linahitaji 64bit kwa windows yoyote
OS Minimum: Windows 8.1 64 Bit, Windows 8 64 Bit, Windows 7 64 Bit Service Pack 1, Windows Vista 64 Bit Service Pack 2* (*NVIDIA video card recommended if running Vista OS)
 
hapa umenikumbusha kitu seems jamaa ana windows ya 32bit ndio maana game limekataa kulaunch

mwanzisha mada cheki kama pc yako ni 32bit au 64bit kwanza kama ni 32bit google gta v 32bit crack kuna patch nafkiri
Ni kweli kaka natumia Window 10, 32-bit

Sasa nifanyaje niweze play hii GTA V wakuu??View attachment 344538
ushauri wangu eka tu windows ya 64bit
1. kama umeangalia hapo ni 3.41gb tu ya ram ndio unaweza itumia almost mb600 huwezi zitumia sababu windows ya 32bit haiwezi kutumia ram hadi 4gb au kupanda ukienda 64bit utatumia ram vizuri zaidi.
2.minimum requirements ya gta v ni 4gb lakini gpu yako inashare vram na ram ya kawaida hivyo tegemea game kuwa slow sababu gpu ikichukua 1.6gb utabakiwa na kama 1.8gb ya kurun mambo mengine. ni vyema ukaongeza ram hata 2gb iende 6gb ili kuenjoy games na pia ukiwa na ram slot zote mbili utaiongeza nguvu ya pc sababu processor za sasa zina dual chanell zinatumia ram mbili kwa mpigo.

pia kumbuka kutoa windows ya 32bit kueka 64bit itabidi ufanye clean installation hivyo utapoteza data zote
 
Nashukuru sana Chief mkwawa, aisee emekuwa msaada mzuri sana kwangu kitalaamu..asante kaka nitafanya ivyo kwa ushauri wako kaka
 
ushauri wangu eka tu windows ya 64bit
1. kama umeangalia hapo ni 3.41gb tu ya ram ndio unaweza itumia almost mb600 huwezi zitumia sababu windows ya 32bit haiwezi kutumia ram hadi 4gb au kupanda ukienda 64bit utatumia ram vizuri zaidi.
2.minimum requirements ya gta v ni 4gb lakini gpu yako inashare vram na ram ya kawaida hivyo tegemea game kuwa slow sababu gpu ikichukua 1.6gb utabakiwa na kama 1.8gb ya kurun mambo mengine. ni vyema ukaongeza ram hata 2gb iende 6gb ili kuenjoy games na pia ukiwa na ram slot zote mbili utaiongeza nguvu ya pc sababu processor za sasa zina dual chanell zinatumia ram mbili kwa mpigo.

pia kumbuka kutoa windows ya 32bit kueka 64bit itabidi ufanye clean installation hivyo utapoteza data zote

Nina wasiwasi na kusema kwamba 32-bit haiwezi kutumia ram hadi 4GB, ila mara nyingi kinachotokea installed say 4 GB afu usable 3.41, ina maana some amount of RAM is allocated for the graphics card.

Pia kulingana na mtoa mada, mimi nina Lenovo G50 core i3 4 GB RAM, Windows 10 32 bit Home edition, nacheza GTA V ambayo nilishusha kutoka www.oceanofgames.com, the only drawback ni kuwa sometimes mouse does not click....
 
mkuu hio issue ya 32bit kutotumia 4gb kupanda haina mjadala ni kitu fact kinaeleweka dunia nzima na si maneno yangu tu.

kuhusu wewe kucheza hilo game na 4gb tu ya ram inawezekana lakini ujue hapo hdd yako ndio imetumika kama ram. kwa ushahidi zaidi eka screenshot ya task manager tuone ukicheza hilo game matumizi ya ram, cpu na hdd yanakuwaje.

na windows ikitumia hdd kama ram baada ya ram ya kawaida kujaa lazima pc iwe slow sababu hdd nayo ipo slow ndio maana unasema huwezi kuclick na mouse
 
Asante CHIEF, ila kwa kuwa tunajifunza naomba kushiriki kama ifuatavyo, kwanza naweka screenshots za PC yangu:

Hapa natumia Ubuntu 16.04 64-bit inaonyesha RAM 3.8 GB sawa na 3891 MB , wakati 4 GB ni sawa na 4096 MB kuna kama 200+ MB zimepungua hapo.

Screenshot from 2016-05-13 14-20-13.png

hii ni picha ni properties ya computer hiyo hiyo ikiwa na windows 10, 32 bit, katika 4 GB yenyewe inatumia 2.44 tu, dah:

Specs.PNG

Screen shot ta Task Manager ndio inakwambi akabisa et 1.6 GB is hardware reserved sasa si undezi huu, kwa watu kama sisi lazima itupasue kichwa, manaake inabidi nikanunue RAM nyingine? hapana...

RAM.PNG

Kulingana na Microsoft anasema Limit RAM kwa windows 10 32 - bit home edition 4 GB, chini ya hapo, ni hujuma ya hardware!!!!!.... na hii tabia ya Windows kuonyesha Installed RAM kiasi Fulani halafu Usable kiasi Fulani haijalishi kama Edition ni 32-bit au 64-bit, wapo watu wana 64-bit version na ana RAM 8 GB, lakini anaambiwa usable ni 2.7 GB, lazima ung'ake....

Limit.PNG

Sasa kuna mbinu za kufanya ukiona umedhulumiwa RAM na hardware, na Microsoft mwenyewe anabainisha baadhi ya mbinu hizo hapa: https://support.microsoft.com/en-us/kb/978610

Mbinu nyingine hii hapa chini, ila kuwa makini!...

1. Run "Regedit" (Type in "Regedit" in search after clicking Windows Key)

2. Navigate to HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlDSet\Control\Session Manager\Memory Management

3. Find "ClearPageFileAtShutdown" and Double Click

4. Type in 1 and Press Enter

5. Double Click "ClearPageFileAtShutdown", Type in 2 and Press Enter

6. Double Click "ClearPageFileAtShutdown", Type in 0 and Press Enter

7. "Shutdown" Computer (Do not Restart as this does not work)

8. Power up computer and you should have Full use of of the computers RAM
 
Asante CHIEF, ila kwa kuwa tunajifunza naomba kushiriki kama ifuatavyo, kwanza naweka screenshots za PC yangu:

Hapa natumia Ubuntu 16.04 64-bit inaonyesha RAM 3.8 GB sawa na 3891 MB , wakati 4 GB ni sawa na 4096 MB kuna kama 200+ MB zimepungua hapo.

View attachment 347195

hii ni picha ni properties ya computer hiyo hiyo ikiwa na windows 10, 32 bit, katika 4 GB yenyewe inatumia 2.44 tu, dah:

View attachment 347196

Screen shot ta Task Manager ndio inakwambi akabisa et 1.6 GB is hardware reserved sasa si undezi huu, kwa watu kama sisi lazima itupasue kichwa, manaake inabidi nikanunue RAM nyingine? hapana...

View attachment 347199

Kulingana na Microsoft anasema Limit RAM kwa windows 10 32 - bit home edition 4 GB, chini ya hapo, ni hujuma ya hardware!!!!!.... na hii tabia ya Windows kuonyesha Installed RAM kiasi Fulani halafu Usable kiasi Fulani haijalishi kama Edition ni 32-bit au 64-bit, wapo watu wana 64-bit version na ana RAM 8 GB, lakini anaambiwa usable ni 2.7 GB, lazima ung'ake....

View attachment 347203

Sasa kuna mbinu za kufanya ukiona umedhulumiwa RAM na hardware, na Microsoft mwenyewe anabainisha baadhi ya mbinu hizo hapa: https://support.microsoft.com/en-us/kb/978610

Mbinu nyingine hii hapa chini, ila kuwa makini!...

1. Run "Regedit" (Type in "Regedit" in search after clicking Windows Key)

2. Navigate to HKEY_LOCAL_MACHINE\SYSTEM\CurrentControlDSet\Control\Session Manager\Memory Management

3. Find "ClearPageFileAtShutdown" and Double Click

4. Type in 1 and Press Enter

5. Double Click "ClearPageFileAtShutdown", Type in 2 and Press Enter

6. Double Click "ClearPageFileAtShutdown", Type in 0 and Press Enter

7. "Shutdown" Computer (Do not Restart as this does not work)

8. Power up computer and you should have Full use of of the computers RAM

Pia waweza kuona kidhibiti halisi cha matumizi ya RAM kulingana na toleo la windows hapa: Memory Limits for Windows and Windows Server Releases (Windows)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom