Nijuzeni ubora wa dvd player za mr Uk

Nijuzeni ubora wa dvd player za mr Uk

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2014
Posts
2,125
Reaction score
1,535
Habari za muda huu wangwana wa JF ,ni matumaini yangu kuwa mna afya njema , na kama ni tofauti na hivyo Mungu awape nafuu mpone haraka,

Dhumuni kuu la kuandika uzi huu ni kutaka kufahamu sifa na mapungufu ya deki za mr uk kwani nimevutiwa nazo sana ila kabla sijanunua ningependa kufahamu sifa zake,
Shukrani.
 
Back
Top Bottom