Power bank kwa ajili ya laptop!?

ndugufred

Senior Member
Dec 30, 2011
137
44
Nahitaji kujua wapi naweza pata hizi vitu hapa Dar-es-Salaam.Amazon na Alibaba naona zipo nyingi tu nahisi hata bongo zitakuwepo the qn is where.

Mi ni miongoni mwa watu ambao hujikuta hawahitaji kbs laptop kuishiwa charge sababu ya umeme kukatika. Kwa yeyote anayejua zinakopatikana ani-update tafadhali!
 
Nunua battery ya gari labda, inategemea na aina ya processor utakayotumia kama una processor za core (i3/i5/i7) zenye nguvu na kutumia watts nyingi kitu kama power bank utakimaliza faster tu.

Ila ukiwa na processor inayotumia watts chache kama core m au celeron na pentium za braswell au baytraail/cherry trail processor unaweza tumia power bank ila laptop hizi tayari zinakaa sana na chaji utakuta nyingi zinazidi masaa 10 ya ukaaji chaji.
 
Yangu core i7,sidhan kama kutakuwa na utifauti sana.Maana battery yake ina 4200mAh,nikipata powerbank hata ya 42000mAh ni karibia mara 10 uwezo wa battery yake,na battery yake inakaa 1:45 min at maximum load..
 
Na battery ya gar manake itabd ninunue inverter,niwe nacharge wakat nna ac supply,ukikatika inverter iwe inanibadilishia ili nipate ac,then adapter iconvert nipate dc ya laptop,naona conversions nyingi ntapoteza charge nyingi kwa losses..
 
Nahitaji kujua wapi naweza pata hizi vitu hapa Dar-es-Salaam.Amazon na Alibaba naona zipo nyingi tu nahic hata bongo zitakuwepo the qn is where.
Mi ni miongoni mwa watu ambao hujikuta hawahitaj kbs laptop kuishiwa charge sbb ya umeme kukatika.Kwa yeyote anayejua zinakopatikana aniupdate tafadhali!
Mkuu laptop gani hiyo? Battery yake ina mAh kiasi gani?
Wazo la kuwa na inverter au solar power nadhani ndio jibu.
 
Solar manake sasa ni lzm nitumie mchana tu,sometimes nafanya kaz usiku kucha...au nalala huku application inaendelea kuchakata usiku kucha..sidhan kama solar itanisaidia hapo
 
Mkuu laptop gani hiyo? Battery yake ina mAh kiasi gani?
Wazo la kuwa na inverter au solar power nadhani ndio jibu.
Laptop ni dell latitude e6410,battery yake ni 4200mAh.Solar ingefaa endapo ingehitajika mchana tu pekee...Mi nahitaj muda wote,if possible uninterupted supply up to 10hrs
 
Yangu core i7,sidhan kama kutakuwa na utifauti sana.Maana battery yake ina 4200mAh,nikipata powerbank hata ya 42000mAh ni karibia mara 10 uwezo wa battery yake,na battery yake inakaa 1:45 min at maximum load..

output je? usiangalie tu mah kuna utofauti mkubwa wa battery za simu na laptop na hizo power bank. battery za laptop zinakuwa mfumo wa cell na zinaweza fika hadi 9.

hivyo hilo li power bank moja linaweza kuwa linatoa kiumeme kidogo sana japo ni kubwa na kupelekea hata hio laptop yako isiboot kutokana na jinsi cpu yako inavyofyonza umeme.

cheki hapa kuelewa zaidi.

Why are phone batteries measured using mAh instead of kWh? • /r/explainlikeimfive
 
Kuna powerbank special kbs kwa ajil ya laptops,ambazo output yake huwa inaendana na input za laptop.Ili kujua umeme upi unaofaa laptop unaangalia tu output ya supply adapter yako.Capacity ni the same...similar to volume ya maji..Kama matumiz ni 20 litres per day,ni hvy hvy regardless maji ni ya bomba au ya kununua.So as long as current na voltage zinafaana,larger capacity means more time..
 
mkuu laptop ni nyingi bila kuweka hio powerbank link yake hapa na specs zake hatutafika conclusion. angalia hizi cpu na ulaji wa umeme

-atom inatumia 2w
-core m inatumia 4w
-pentium/celeron mpya 6-10w
-u series (core i) inatumia 15w
-m series core i inatumia 35w
-core i7 quad zinatumia hadi 47w

hivyo unaona nguvu ya cpu za pc zinaanzia 2w hadi 47w kuna gape kubwa sana hapo.

sijaeka gpu hapo inaweza fika hadi 100w na zaidi.

huwezi tumia power bank ya kilaptop kisichotumia hata 10w kwenye laptop yako ya 100w.

eka link ya powerbank then tuone kama inaweza kuwa 60wh au 90wh kama battery ya laptop yako.
 
Mkuu sorry labda sijakuelewa.Wh ni unit ya energy.So kipimo ambacho kingefaa kulinganishia processor labda ingekuwa Watt(W),mW,kW and the like.Na pia hiyo 47w unamaanisha 47W!!?There might be a difference,47W naona kama ni kubwa sana.Kwa lugha rahis ili battery isupport hiyo cpu kwa masaa matatu inabd iwe na capacity ya (47*3)Wh.Hii kubwa sana.Standard car battery inarange kwenye 45amp-hours,kwa tafsiri yako ni kwamba battery inayotosha kuipa power core 7 processor kwa muda wa lisaa iwe na capacity kubwa kuliko battery ya gar la kawaida.Unless hiyo w ni unit nyingine ambayo ni ndogo tu.
 
hio ni cpu tu bila hata gpu hapo na i7 almost zote za quadcore na thread 8 ni watts 45 au 47

ushahidi wa cpu ya laptop ya 47w
Intel® Core™ i7-4900MQ Processor (8M Cache, up to 3.80 GHz) Specifications

na hio ni cpu tu ukija gpu kama gtx 980m yenyewe tu inakula 100w so ukikuta laptop yenye i7 4900hq na gpu kama gtx 980m usishangae ikatumia zaidi ya 200w
 
Nmekuelewa mkuu,research kdg nlofanya inaonesha hzo wattage ulizozisema ni sahihi kbs na za kawaida nlikuwa nmejisahau kdg kwenye conversion toka mah kwenda Wh,na hvy sio kubwa kama nlivyokuwa nafikiria.Sema cha kuconsider hapo ni kuwa hzo ratings ni ikiwa full loaded.Nmeangalia battery yangu nayo ina 4400mAh(49Wh),ndo mana inaweza ikasustain hayo mahitaji up to 1.5h.Lakin powerbank nlizoziona mm za laptop zinatoa 20V/3.3A na zina capacity mpk 32000mAh(650Wh),ambao ni capacity karibia mara 10 ya battery yangu.
 
Nmekuelewa mkuu,research kdg nlofanya inaonesha hzo wattage ulizozisema ni sahihi kbs na za kawaida.Ila sio kubwa kama nlivyokuwa nafikiria.Sema cha kuconsider hapo ni kuwa hzo ratings ni ikiwa full loaded.Nmeangalia battery yangu nayo ina 4400mAh(49Wh),ndo mana inaweza ikasustain hayo mahitaji up to 1.5h.Lakin powerbank nlizoziona mm za laptop zinatoa 20V/3.3A na zina capacity mpk 32000mAh
zipo battery hadi za 90wh za laptop yako zinaweza double ukaaji wa chaji.

kama nilivyosema hapo juu battery ya laptop imegawanyika kwa cell na inaipa umeme laptop kwa wingi sababu kila cell inatoa. probably yakwako ni cell 4 kutokana ni 49wh.

hizo power bank inaweza kuwa ni just one cell lakini kubwa hivyo kutakuwa na mabomba manne yanatoa na moja linaingiza maji yataisha tu.

6cell+8cell98601.png

kuhusu hizo voltage za hio power bank am not sure kama ni kweli unaweza nipa link ili niifanyie research zaidi?
 
Amazon.com: Poweradd Pilot Pro 32000mAh Monster Capacity Multi-Voltage Portable Charger External Battery Pack: Computers & Accessories
 
zipo battery hadi za 90wh za laptop yako zinaweza double ukaaji wa chaji.

kama nilivyosema hapo juu battery ya laptop imegawanyika kwa cell na inaipa umeme laptop kwa wingi sababu kila cell inatoa. probably yakwako ni cell 4 kutokana ni 49wh.

hizo power bank inaweza kuwa ni just one cell lakini kubwa hivyo kutakuwa na mabomba manne yanatoa na moja linaingiza maji yataisha tu.

6cell+8cell98601.png

kuhusu hizo voltage za hio power bank am not sure kama ni kweli unaweza nipa link ili niifanyie research zaidi?
Battery ya 90Wh sana sana itaniongezea labda 2hrs tu,ambayo ni improvemnt lakin ndogo sana.Bei yake haiwez kuwa chini ya 180k,ss si ni bora hata nikaagiza tu hiyo powerbank kama bongo hazipo maana zinaanzia 130$,nikajipatia more than 10 hrs!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom