Nisaidieni kwa hili wapendwa.

Nisaidieni kwa hili wapendwa.

Scorpio Me

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
6,119
Reaction score
7,952
Mambo zenu,naomba mnisaidie kuchagua kati ya tv hizi:

SAMSUNG

LG

SONY

HEISENCE

SOLSTAR

Zote ni inch 32 na price zao zinarange sawa except kwa SONY iko juu kidogo kuliko zingine hapo.

Nimegoogle nimeelewa some vitu some viko kiufundi zaidi sijaelewa...

Nataka kujua ipi ni bora kuliko zingine ktk hio list hapo...

Cc Chief-Mkwawa naomba usiache kupita hapa
 
Na wengine jamani kujeni basi mnishauri...
 
Nitumia LG leo mwaka wa tatu sasa iko poa kinyama,
Lkn nakushauri ununue Sony maana hapo ndo inaonekana bei yake ipo juu na siku zote kizuri gharama
 
SAMSUNG,LG na SONY 32" features nyingi zinafanana....ila LG na SONY zina extra feature ya Wi-Fi na kwenye resolution LG imewazidi kidogo hao wengine
Kwa quality tu ya graphics na picha hizi zote tatu hazitofautiani sana, Mi nakushauri uchukue kitu SONY ila hakikisha ni High Definition na ni LED hutojutia mkuu na kama ujuavyo SONY wako vizuri sana upande wa sound
 
Asante mpendwa
 
ni kosa kubwa sana kununua kitu kwa kuangalia brand tu, unatakiwa ujijue mwenyewe matumizi yako ni yapi, ila kwa tv ya kisasa unatakiwa
1. iwe na service centre tv ikiharibika utengenezewe
2. iwe na kioo cha LED
3. port za usb, hdmi, vga (kama una laptop au desktop)
4. display iwe ni Ips au technology nyengine yenye view angle nzuri ili hata ikikaa sebuleni mnaona pande zote
5. warranty ya manufacture na sio mwenye duka, etc
 
Natumia LG, ni nzuri sana kwenye ubora picha na rangi. Kabla sijanunua nilimwambia muuzaji aniwashie TV tofauti kwa wakati mmoja na kwa picha moja. Ukweli LG aliwapita wengine wote Kwa ubora wa picha na rangi.

Utakapofikia uamuzi wa TV ipi ununue hakikisha unanunua yenye king'amuzi ndani. Mimi huwa kifurushi kikiisha kwenye King'amuzi ninachotumia na sina pesa ya kulipia, huwa natumia cha ndani ya TV na ninapata chaneli zifuatazo bure kabisa:
ITV, Star TV, TV 1, EATV, Capital, Chanel Ten, Emmanuel TV, Al Jazeera, NHK Japan, Arirang, CITIZEN, UHAI TV, Living Water, Africa TV, TBC
 
Asante chief,ntatumia hiyo guideline
 
Mambo zenu,naomba mnisaidie kuchagua kati ya tv hizi:

SAMSUNG

LG

SONY

HEISENCE

SOLSTAR

Zote ni inch 32 na price zao zinarange sawa except kwa SONY iko juu kidogo kuliko zingine hapo.

Nimegoogle nimeelewa some vitu some viko kiufundi zaidi sijaelewa...

Nataka kujua ipi ni bora kuliko zingine ktk hio list hapo...

Cc Chief-Mkwawa naomba usiache kupita hapa
Mara nyingi hao jamaa hawatofautiani sana kweny basic specs ,ila kuna extra features chache ndio zinatofautiana..so far LG is good ,ile UI tu ya LG ni mwisho.
Chukua iyo LG ukatulie nayo mkuu.
 
UI ndo nini??/
 
Natumia LG, ni nzuri sana kwenye ubora picha na rangi. Kabla sijanunua nilimwambia muuzaji aniwashie TV tofauti kwa wakati mmoja na kwa picha moja. Ukweli LG aliwapita wengine wote Kwa ubora wa picha na rangi.

Utakapofikia uamuzi wa TV ipi ununue hakikisha unanunua yenye king'amuzi ndani. Mimi huwa kifurushi kikiisha kwenye King'amuzi ninachotumia na sina pesa ya kulipia, huwa natumia cha ndani ya TV na ninapata chaneli zifuatazo bure kabisa:
ITV, Star TV, TV 1, EATV, Capital, Chanel Ten, Emmanuel TV, Al Jazeera, NHK Japan, Arirang, CITIZEN, UHAI TV, Living Water, Africa TV, TBC
ntajuaje kama in aking'amuzi ndani???
 
Back
Top Bottom