mikumiyetu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 1,312
- 947
Mmeamkaje wadau,account yangu ya insta inanigomea kufollow marafiki wapya pia kuwafollowback walionifollow mimi tatizo linafikisha mwezi sasa.Tatizo linaweza kuwa nini
Nilishafanya hivyo jana lakin tatizo liko pale paleUniistall Insta App halafu uiinstal tena halafu ingia upya. Fanya hivyo halafu ulete mrejesho.