Natafuta 3d glasses

Natafuta 3d glasses

island

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2013
Posts
1,065
Reaction score
836
Wapi naweza pata 3d glasses kwa Dar es salaam au mikoa ya karibu au nchi ya jirani ,, nahitaji in large quantity
 
za kutumia kwenye nini? maana kila kifaa kina aina fulani ya miwani inayokubali, usifikiri kila 3d glass ni sawa
 
movie theatre
huwa zinauzwa 5000 au 10,000 kwenye makumbi ya cinema, nakumbuka zamani unaunua miwani yako then siku ya movie ya 3d unakuja nayo.

jaribu kupitia makumbi ya cinema mlimani city, osterbay, mkuki house na quality centre. au unaweza tu cheki contact zao online ukawapigia
 
Thanks , but hata mimi nilihitaji kwa ajiri ya movies . Movie theaters wanauza at super normal profit (5000.@ pc ) ,, nime contact wachina average rate haifiki elf moja (ex work ),Bila transport na mambo mengine .... Naona ntaagiza nje nivumilie ifike maana hapa naona hamna Importer.
 
wazo zuri mkuu ila pia ukumbuke kuna reald 3d na imax 3d hivyo ni vyema kuzifahamu usije ukapata compability issue. hope unayo projector ya 3d tayari
 
Nunua miwani ya kawaida alafu upande 1 paka rangi ya bluu na upande mwingine paka rangi nyekundu.
 
Projector ipo na passive modulator yake ,, nimefanya kuwapa specs za hii then wakanipa bei.. issue ni delivery kwa sasa
 
Haaaa haaaa haaa , mabishoo hawatanunua , in the face of marketing idea yako haifanyi kazi ..
 
Projector ipo na passive modulator yake ,, nimefanya kuwapa specs za hii then wakanipa bei.. issue ni delivery kwa sasa
unit nyingi sana? kusafirisha container ni dola 700 hadi 900, bado kodi hapo
 
Nahitaji pcs elf 7 , kwa ajiri ya stock .. nimepiga hesabu economically bora kuagiza China au SA .. maana hapa hamna supplier wa hizi glass
 
Wapi naweza pata 3d glasses kwa Dar es salaam au mikoa ya karibu au nchi ya jirani ,, nahitaji in large quantity
Ziko za aina 2, kama sikosei, ziko passive na active, kwa hiyo kwanza ujue ni zipi unazihitaji.
 
Ukiwapa model ya projector na modulator yake wanakupa accordingly ,, ingawa ni vyema kujua pia
 
Nahitaji pcs elf 7 , kwa ajiri ya stock .. nimepiga hesabu economically bora kuagiza China au SA .. maana hapa hamna supplier wa hizi glass
kuna njia mbili
-kwa ndege (wanaangalia uzito)
-kwa meli (wanaangalia nafasi)

-kilo moja inarange dola 1 hadi 10 kwa ndege, miwani ina gram 50 hadi 60 hivyo piece 7000 ni sawa na kama kilo 350 hadi 420, kuzileta kwa ndege bei itarange kwenye dola 400 hadi 4000
-meli wanapima kwa cubic meter yaani urefu, upana na kimo cha meter 1, inakuwa dola 2 hadi 30, unaweza wauliza dimension za box la hizo miwani ukajua zinaingia ngapi kwenye cubic meter

cheki zaidi hapa
Tanzania China Shipping-Tanzania China Shipping Manufacturers, Suppliers and Exporters on Alibaba.comHandbags
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom