Gamers far cry primal aka far cry 5 iko hewani

Nikhil

JF-Expert Member
Apr 16, 2013
361
120
Wakuu habari zenu..

Ubisoft mwishoni wa mwez huu wa pili wametoa game ya Far cry primal ni game moja nzuri sana ya Action ingia youtube uione..
Game ina ukubwa kama wa 11Gb mi ndo imebaki gb2 nimalize kuipakua ila game hii inaonekana inahitaji pc iliyo simama vizuri ktk video card ukiangalia specs
Inahitaji PC System Analysis for Far Cry: Primal
The requirements for FC Primal are around the
same seen in Far Cry 4. The graphics engine
used is Dunia Engine 2, which has been around
since Far Cry 3. Playing the Far Cry series
always benefits from top graphics as you explore
the landscape, and so warrants getting PC
hardware that matches Far Cry Primal's
recommended system requirements. An Intel
Core I7 2600K matched with a GTX 780 GPU or
better and at least 8 Gigs of system memory to
help reach reasonable FC Primal FPS on High
graphics setting.
Mimi naamini specs zake si tofaut na far cry 4 Hii game ilizingua kucheza kwenye pc yangu kwa kuwa
Matatizo haya..
1. Haichezi kwenye dual core
2.Inaleta black screen issues
PC YANGU NI HP ELITEBOOK
Ram 4 gb
Cpu Ni core i7
Video card ni Nvidia Qudro Nvs 5100
Nilishacheza far cry 3 vizuri sana HAkika Jason brody alifanyA kaz nzuri hadi kumuua Vaas..
Wakuu naombeni mnisaidie nitafanyeje ili kutatua hilo tatizo nimejaribu kutafuta patch nyingi lakini nimeshindwa.
Ila nikishamaliza kudownload far cry 5 nitaleta Mrejesho wakuu
 
Humu hf mijitu mingi mizee haina interest na games.... Sijawahi kucheza hiyo franchise, ni nzuri eeh??
 
games za siku hizi nyingi zinatengenezwa kwa ajili ya console (ps4 na xbone) na hizi console core ya kwanza na ya pili hazitumiki kwa ajili ya games kuanzia core ya pili hadi 6 ndio zinatumika.

hivyo ikija kwenye pc kama una dual core ikiskip core 2 tayari game halitawaka.

hapo solution ni kutafuta patch ya dual core yapo magame mengi tu yana tabia hio na yanachezeka fresh.

na hio gpu ya quadro sio ya games na hujasema i7 yako ni ipi
 
Mkuu unamaana core i7 ziko tofauti. Hebu naomba nieleweshe hapa kaka. Pia
 
Chief Mkwawa nieleweshe kaka hapa kama kuna chochote kinawezekana tujuzane.
Mkuu katka tathnia ya games za adventure na Action
far cry imeziteka hisia zangu hapa ubisoft ndo wameniharibu kichwa asee
 
Mkuu unamaana core i7 ziko tofauti. Hebu naomba nieleweshe hapa kaka. Pia

yap zipo tofauti sana tena. zipo i7 zinapitwa hadi na simu nguvu na zipo i7 ambazo ni very powerfull. hivi hapa vinasababisha

i7 za laptop
i7 za laptop hazifanani na desktop na zinatofautiana core na ulaji umeme

-i7 zinazoishiwa na mq/qm/hq kwa mbele, hizi hutumia around watts 45 na zina core 4 thread 8 zina nguvu karibia na desktop mfano i7 4700hq

-i7 zinazoishiwa na m mbele mfano i7 4600m hizi ni dual core na thread 4 zinatumia watts 35

-i7 zinazoishiwa na u kwa mbele mfano i7 4500u hizi ni dual core pia na hutumia umeme mdogo sana watts 15

jinsi inavyotumia umeme mdogo na power inakuwa ndogo.

i7 za desktop
hizi pia zipo aina nyingi ila zina nguvu kuliko laptop
-i7 za core 8 thread 16 hizi huuzwa ghalia sana processor tu hufika dola 1000

-i7 za core 6 thread 12 hizi bei sawa na mainstream i7 lakini haziwi na clock kubwa

-i7 mainstream zinakuwa na core 4 na thread 8 hizi ndio maarufu zaidi mfano hio 2600k uliotaja

-i7 zinazoishiwa na s hizi huwa zinatumia umeme mdogo

-i7 zinazoishiwa na T hizi hutumia umeme mdogo zaidi.

-i7 zinazoishiwa na R hizi huwa na gpu ya ndani yenye nguvu.

pia kuna generation, sasa hivi kuna generation 6 za i7

i7 920
i7 2600
i7 3770
i7 4790
i7 5775
i7 6700

kujua generation angalia namba ya kwanza ikianza na 6 ni 6th generation ikiwa 2 ni 2nd generation na 1st generation zenyewe zina namba tatu wakati generation zilizobakia ni nne.

jinsi generation ilivyo kubwa ndio i7 inavyokuwa na nguvu.

kwa games i7 yoyote kuanzia 2nd generation inafaa
 
games za siku hizi nyingi zinatengenezwa kwa ajili ya console (ps4 na xbone) na hizi console core ya kwanza na ya pili hazitumiki kwa ajili ya games kuanzia core ya pili hadi 6 ndio zinatumika.

hivyo ikija kwenye pc kama una dual core ikiskip core 2 tayari game halitawaka.

hapo solution ni kutafuta patch ya dual core yapo magame mengi tu yana tabia hio na yanachezeka fresh.

na hio gpu ya quadro sio ya games na hujasema i7 yako ni ipi
Mkuu nedownload need for speed the run imegoma kucheza inaleta black screen pc yang ni Hp core i7 intel HD graphics inahitaji direct x 10 ninayo ila bado unazingua ttzo ni nini??
 
dr

una latest driver za gpu yako? hakuna error yoyote inayotokea?
 
Nimepiga window 10 ila direct x 12 imegoma na ila nikirun CPU checker inanionyeshe u have window 10 enteprise x64 and 12 direct x ila nikiandi dxdiag pale kwenye direct x inaandika 10
 
Wakuu habari zenu..

Ubisoft mwishoni wa mwez huu wa pili wametoa game ya Far cry primal ni game moja nzuri sana ya Action ingia youtube uione..
Game ina ukubwa kama wa 11Gb mi ndo imebaki gb2 nimalize kuipakua ila game hii inaonekana inahitaji pc iliyo simama vizuri ktk video card ukiangalia specs
Inahitaji PC System Analysis for Far Cry: Primal
The requirements for FC Primal are around the
same seen in Far Cry 4. The graphics engine
used is Dunia Engine 2, which has been around
since Far Cry 3. Playing the Far Cry series
always benefits from top graphics as you explore
the landscape, and so warrants getting PC
hardware that matches Far Cry Primal's
recommended system requirements. An Intel
Core I7 2600K matched with a GTX 780 GPU or
better and at least 8 Gigs of system memory to
help reach reasonable FC Primal FPS on High
graphics setting.
Mimi naamini specs zake si tofaut na far cry 4 Hii game ilizingua kucheza kwenye pc yangu kwa kuwa
Matatizo haya..
1. Haichezi kwenye dual core
2.Inaleta black screen issues
PC YANGU NI HP ELITEBOOK
Ram 4 gb
Cpu Ni core i7
Video card ni Nvidia Qudro Nvs 5100
Nilishacheza far cry 3 vizuri sana HAkika Jason brody alifanyA kaz nzuri hadi kumuua Vaas..
Wakuu naombeni mnisaidie nitafanyeje ili kutatua hilo tatizo nimejaribu kutafuta patch nyingi lakini nimeshindwa.
Ila nikishamaliza kudownload far cry 5 nitaleta Mrejesho wakuu
imecheza mkuu
 
Back
Top Bottom