Nitapata wapi display ya simu ya simu hapa DSM

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
2,109
Reaction score
1,705
Simu yenyewe ni condor C6 , ni simu nzuri sana na kwa bahati mbaya ilianguka na display imekufa , wadau kwa hapa dar naweza pata wapi display ya simu hii au simu yenyewe naweza kuipata maeneo gani kwa hapa dar.
 
Kaulizie China Plaza...
 
Back
Top Bottom