Kasuku Media Player Alpha 1 Released!

Kasuku Media Player Alpha 1 Released!

Mtangoo

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2012
Posts
6,163
Reaction score
5,623
Am proud to Announce an alpha version of Kasuku.
Download setup and Install it.
Tell us what is missing or what should be changed here.

Enjoy "Sweet Kasuku Sound!" 🙂
 
mkuu mimi naicheki hapa kwa haraka haraka nimepata matatizo haya

1. Haisuport drag and drop. Mejaribu kudgrag mziki umekataa

2. Siwezi kuopen mziki mmoja mmoja mpaka niselect folder kwa ujumla na player ndio idetect miziki yote

3. Nikiplay muziki inaniambia message hii

[TD="width: 100%, bgcolor: #FFEAFF, align: center"]

Bitmap is in PNG format ''control_pause'' not found, check that the resource file contains ''RCDATA'' resource with this name[/TD]

4. Kwenye help manual nikiclick sipati respond yoyote

5.it seems button ya play haifanyi kazi nimejaribu kudouble click mziki (bila kubonyeza play) na unaplay vizuri tu

6. Niki double click screen inakuja screen nyeupe na kijivu (mategemeo yangu ingekuja full screen).

7. Kuna icon 2 kwenye player iliochorwa alama ya computer na moja kama equaliser zote nikibinya napata same respond kama niki double click (hope kuna feature hapa hazipo)

8. Filter haifany kazi nikijaribu kuandika jina la msanii haji

9.lol na quit haifanyi kazi nikibonyeza music then quit sitoki kwenye player

mkuu tuishie hapa yasifike kumi. Mimi nina mawazo yangu kwenye player yako.

1. Eka equalizer kuchange aina ya sauti mtu anayotaka kuskia (base, pop, rock...)

2. Ongeza skin isiwe kama hvi tu. Skin ziwe za kibongo bongo mf, soko la kariakoo, mlima kilimanjaro

3. Natumia windows 8 nataka live tile kama icon ya player

4. Wakati nyimbo inaplay inaonesha mda uloenda na mda wa nyimbo ila haionesh muda ulobakia naomba ueke

ni hayo tu mkuu
 
Chief chief-mkwawa,
mkuu mimi naicheki hapa kwa haraka haraka nimepata matatizo haya
Hii ni Alpha version 1, haina feature nyingi na zingine nimeweka kuonesha tu kama watu watakuwa interested ziwepo au la. Nisingependa wekeza nguvu ktk kitu ambacho baadae inabidi ukiweke kando. Kwa hiyo hii ni kwa ajili ya kukusanya maoni ya nini kinakosekana na nini hakipaswi kuwepo!

1. Haisuport drag and drop. Mejaribu kudgrag mziki umekataa
Noted. Ungependelea drag and drop iweje hasa kwa directories/folders?
Just add media to playlist?

2. Siwezi kuopen mziki mmoja mmoja mpaka niselect folder kwa ujumla na player ndio idetect miziki yote
Kwa hiyo ungependa option ya "open single Media"?
Cool, it will be added

3. Nikiplay muziki inaniambia message hii

[TD="align: center"]
Bitmap is in PNG format ''control_pause'' not found, check that the resource file contains ''RCDATA'' resource with this name[/TD]
Ah! hii pia itakuwa fixed soon ktk Alpha2. Asante kwa kuripoti!

4. Kwenye help manual nikiclick sipati respond yoyote
Kwa kuwa hakuna manual bado, itakuwa moja ya vitu vya misho mwisho. Niiondoe kabisa au niweke message "Feature is not Yet implemented"? Which is better?

5.it seems button ya play haifanyi kazi nimejaribu kudouble click mziki (bila kubonyeza play) na unaplay vizuri tu
Noted. Ila ukisha double click inaonesha inafanya kazi. Nitalifanyia kazi hili pia!

6. Niki double click screen inakuja screen nyeupe na kijivu (mategemeo yangu ingekuja full screen).
Kuna tatizo ambalo linafahamika na nalifanyia kazi. Nimeliach hivyo kwa sasa kwa kuwa ukianza ku play, linaondoka na video inaonekana vizuri. Nitali fix soon pia!

7. Kuna icon 2 kwenye player iliochorwa alama ya computer na moja kama equaliser zote nikibinya napata same respond kama niki double click (hope kuna feature hapa hazipo)
Sorry kwa confusing Icon ila hiyo kazi yake ni kuficha screen (kama unatumia Audio) ukibonyeza tena inaficha playlist ukibonyeza mara ya tatu inaonyesha vyote. Haifanyi hivyo?
Nitabadili Icon!

8. Filter haifany kazi nikijaribu kuandika jina la msanii haji
Bado haijawa implemented ila ni suggested feature kuona kama watu wataikubali. Je itakuwa vizuri ikiwepo?

9.lol na quit haifanyi kazi nikibonyeza music then quit sitoki kwenye player
I will fix it. Je hata shortcut (Ctrl+Q) haifanyi kazi? Niko interested kujua!

mkuu tuishie hapa yasifike kumi. Mimi nina mawazo yangu kwenye player yako.
Unaweza kuendelea tu ndugu yangu hakuna tatizo. Shukrani hata kwa haya maoni yako!

1. Eka equalizer kuchange aina ya sauti mtu anayotaka kuskia (base, pop, rock...)

2. Ongeza skin isiwe kama hvi tu. Skin ziwe za kibongo bongo mf, soko la kariakoo, mlima kilimanjaro

3. Natumia windows 8 nataka live tile kama icon ya player

4. Wakati nyimbo inaplay inaonesha mda uloenda na mda wa nyimbo ila haionesh muda ulobakia naomba ueke

ni hayo tu mkuu
Namba 1 noted.
Namba 2 una maana ya color skinning au mpaka iwe na gradients kabisa?
Namba3 Situmii windows 8 kama utanipa link ya kuona hiyo kitu ilivyo. Natumia Win 7
Namba 4 Noted pia. Ila ungependa hiyo display ya muda ikae upande gani na mahali gani?

Asante kwa maoni yako na yatafanyiwa kazi. Ngoja nikusanye mengine kidogo!
 
Last edited by a moderator:
CTO nashindwa ku-execute via codelite baada ya kubuild napata hii error cjui kosa likowapi...hapo?

Capture.PNG
 
Last edited by a moderator:
kwa haraka haraka:

* Inabidi baada kuplay wimbo unaofata automatically baada ya uliopita kuisha

* playlist inakuwa inablinkblink kama unakuwa unaplay ila ukipause inatulia

Still checking...
 
iwe na feature zoote ambazo zipo kwenye VLC
 
iwe na feature zoote ambazo zipo kwenye VLC
No that is impossible. Itakuwa copycat ya VLC. Tunataka media inayotutosheleza sisi tu.
Kwa hiyo unaruhusiwa kusema ni nini kilicho katika VLC unakihitaji! LOOOK
 
Last edited by a moderator:
No that is impossible. Itakuwa copycat ya VLC. Tunataka media inayotutosheleza sisi tu.
Kwa hiyo unaruhusiwa kusema ni nini kilicho katika VLC unakihitaji! LOOOK

vlc license yao ni gnu, so sio dhambi kuwa na feature zote za vlc na zingine ziongezwe, karibia media player zote zinafanana features, so usihofu mkuu
 
Last edited by a moderator:
CTO kama nilivoorodhesha matatizo niliyoyaona kwenye uzi mwingine, pia kabla hujatangaza beta version chagua testers wachache waangalie matatizo ambayo hayakuwa expected , then utaweza kuirelease
 
Last edited by a moderator:
Dah... Soon ntaleta maon yangu!!! Ndo nataka niishushe hapaaa
 
haifanyi kazi bado napata hiyo error
Ok, now nimeitest inafany kazi fine hata ktk MSW! Possibly kuna vitu viwili hujafanya
1. Compile the Library
- Download it here
- Follow instructions here. Note change release to debug when using settings debug!

2. You have not pointed CodeLite where your library is
- Settings >> Enviroment Variables. See sample

Code:
CodeLiteDir=C:\Program Files\CodeLite
WXWIN=C:\wxwidgets\
PATH=$(WXWIN)lib\gcc_dll;$(PATH)
WXCFG=gcc_dll\mswu
UNIT_TEST_PP_SRC_DIR=C:\UnitTest++-1.3

Try and feedback! nyasiro
 
Last edited by a moderator:
CTO kama nilivoorodhesha matatizo niliyoyaona kwenye uzi mwingine, pia kabla hujatangaza beta version chagua testers wachache waangalie matatizo ambayo hayakuwa expected , then utaweza kuirelease

Nice advice but hii alpha ni kama rough drawing. tunajaribu kupata picha na mwelekeo.
Once we have that, we can start thinking of the testers/releases!

Halafu zile icons vipi maana ziko vizuri sana aisee!
 
Back
Top Bottom