iphone 18 promax
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,921
- 2,161
nasikia benk ya stanbic wanatoa mkopo wa iphone je ni kweli au uongo?
nasikia benk ya stanbic wanatoa mkopo wa iphone je ni kweli au uongo?
Kwa hiyo unataka ukakope...??nasikia benk ya stanbic wanatoa mkopo wa iphone je ni kweli au uongo?
sio kumiliki ios nmeulizwa tu na mm siko mjini niko kijijin na ndio maana nikauliza nimfahamishe aliyeuliza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umenifurahisha saana zote ni ndoto za kutaka miliki IOS?