mwanasagamba
Member
- Aug 18, 2016
- 14
- 5
Wanajamii naomba msaada,
Simu yangu iPhone 4 niliagiziwa na kaka yangu kutoka Japan shida yake ukiweka line haisomi mtandao inaomba pin code kwa yeyote anae faham anisaidie nitachangia gharama.
Ahsante