Samahani wakuu kwa kuwasumbua ila nina shida kidogo naombeni msaada wenu au mawazo yenu kwa mtu yeyote ambaye ana ujuzi juu ya jinsi ya kununua application za android kutoka kwenye google play...
Jamani kama nilivyoeleza hapo juu, simu yangu ilidondoka chini baada ya kuiwasha ikawaka lakini haifanyi kazi; ila nikipigiwa inaita tatizo kupokea na laini inasoma vizuri, nifanyeje na simu yangu...
Toyota kutambulisha gari lilotengenezwa kwa mbao na teknolojia ya kiutamaduni ya nchini Japan isiyohusisha utumiaji wa misumari wala nati katika kuzishikilia mbao hizo.
Sersuna – Gari la mbao...
Siku zote hua naamin kwa kiasi flan zamani kabla ya utawala africa na mabara mengine tulikuwa hatujapishana sana kwenye masuala ya teknolojia ila tu tulianza kupishana pale tu ambapo ukoloni...
Wakuu salam
Naomba mwenye ujuzi na utalaam was kufunga/kuzuia sms husasani za Huduma kwa wateja kujirudiarudia hata zaidi ya mara 100 kwenye simu yangu ya smartphone anisaidie. Maana nimeshaenda...
habari za asubuhi ndugu zangu
na shida na simu yangu toka jana nikiweka line ya tigo inaandika emergency calls only, nikiweka line nyingine inafanya kazi, na pia nkiweka line yangu kwenye simu...
mazee kila nikiapply google adsense baada ya masaa matatu dashboad yao inawaka ila sirudishiwi mesegi then nikiadd code matangazo hayawaki hata usubiri wiki,,,,km kuna mtu amekutana na tatizo ili...
Habari JF,
Tumekuwa tukipokea baadhi ya maswali kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii kuhusiana na matatizo madogo madogo kutoka kwa wateja wetu. Hivi karibuni tumezindua simu mbili kali...
nina simu ya tecno n3. line 1 ina lazimisha kuweka tigo, nimejaribu apps za ku access mtk but nmekuta option ya sim me lock iko disabled. kila niki google kuhusu ku unlock nnaona suggestion ya...
Habari wadau
Kwa kipindi kirefu sasa (miaka kadhaa) tokea nilipojiunga na mtandao wa Facebook tatizo nimesahau exactly year niliojiunga kwa mara ya kwanza.
Naomba msaada kujua ni Lini hasa...
Wakuu Pc yangu ina matatizo kadhaa kama kutofungua apps ambazo zilikuja na Pc inasema apps can't open using the built-in adminstration niliwah badili akaunti kwenye machine sasa kuirudisha...
Niaje wadau wa humu mjengoni!! Natafuta battery kwa ajili ya Laptop yangu aina ya acer aspire E1-510. Hivyo baasi naomba mnisaidie kufahamu kuwa wapi zinauzwa na nitazipata vipi? Duka gani pamoja...
There isn't much that a shade tree mechanic can do to repair an automatic transmission but there are some simple things you can do to extend the time before problems arise.
The automatic...