Habari mpya google adsense

kingsaula

Senior Member
Nov 19, 2016
195
139
mazee kila nikiapply google adsense baada ya masaa matatu dashboad yao inawaka ila sirudishiwi mesegi then nikiadd code matangazo hayawaki hata usubiri wiki,,,,km kuna mtu amekutana na tatizo ili na akalisolve atupe mwongozo
 
Back
Top Bottom