Namna ya kujua mwaka uliojiunga Facebook

Namna ya kujua mwaka uliojiunga Facebook

Mpenda kazi

Senior Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
187
Reaction score
112
Habari wadau

Kwa kipindi kirefu sasa (miaka kadhaa) tokea nilipojiunga na mtandao wa Facebook tatizo nimesahau exactly year niliojiunga kwa mara ya kwanza.

Naomba msaada kujua ni Lini hasa nilipojiunga na mtandao huu.

Angalizo
Kabla ya kunielekeza jaribu kwanza wewe mwenyewe kunangalia ukifanikiwa nipe maelekezo.
Hii ni kwasababu nimepekuwa vya kutosha kwenye profile yangu bila ya mafanikio
 
Ingia kwne profile yako. Nakushauri utumie pc. Then shusha chini kabisa. Upande wa kulia (far right side) utaona neno "recent" ikifatiwa na miaka kibao. Bonyeza kwene earliest year.
[HASHTAG]#cheers[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom