Natafuta betry ya laptop mpya aina ya Acer aspire e1-510

Natafuta betry ya laptop mpya aina ya Acer aspire e1-510

Neilntan

Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
18
Reaction score
0
Niaje wadau wa humu mjengoni!! Natafuta battery kwa ajili ya Laptop yangu aina ya acer aspire E1-510. Hivyo baasi naomba mnisaidie kufahamu kuwa wapi zinauzwa na nitazipata vipi? Duka gani pamoja na bei yake ni sh ngapi????

Asanteni sanaaa!!!1
 
na charger yake wanauza bei gan
kama upo dar njoo ofisini battery mpya sh 70,000 na adapter original sh 35,000, adapter za kichina sh 20,000... Note adapter inakua fully pamoja na power cable...ni pm
 
Back
Top Bottom