Son.j
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 1,030
- 2,449
nina simu ya tecno n3. line 1 ina lazimisha kuweka tigo, nimejaribu apps za ku access mtk but nmekuta option ya sim me lock iko disabled. kila niki google kuhusu ku unlock nnaona suggestion ya kuweka password wakat mi sim yangu haini ombi pasword. pia nina miracle box kwenye pc lakini nimeshindwa kutumia... plz naomben msaada hii sim inakera. nilipo tigo hamna 3g kwahio sioni umuhimu wa kuwa na smart plz nisaidieni kwa idea yoyote