Kama unatafuta mafund bomba au vijana wa kuwaajiri usiteseke tupo watu wenye ujuzi kikamilifu na elimu sahihi yaani Full Technician Certificate (FTC)
Kwa mawasiliano zaidi tutafute kupitia
Email...
Tafadhari msaada wenu kwa anaye. jua jinsi ya kurudisha email iliyo futika katika trash coz wamesama inaishi ndani ya trash kwa muda wa siku 30 zen zinafutika automatically tafazari msaada wenu
Naomba kujua ni browser gan ya android inayoweza kubadili proxy na kuweka unayotaka wewe.
App kama mozila zimekataa kweny android lakn kweny windows iko option ya kubadili proxy
MANY USE THESE ABBREVIATIONS WITHOUT KNOWING THEIR MEANING
1.) *GOOGLE* - Global Organization Of Oriented Group Language Of Earth.
2.) *YAHOO* - Yet Another Hierarchical Officious Oracle.
3.)...
Naomba msaada wadau, nina chip yangu ya halotel sikuitumia kwa muda mrefu, jana nimeiweka nikaunga bando lakini nikiwasha Cellular data haisomi na haiwezi ku connect internet. Nimejaribu kwa...
Nimeambiwa kinaitwa sexual .... data ikiwa on inadownload vitu vya hovyo na vingi sana kila wakati, kuna mda mpaka inajizima na kujiwasha. Kwa jinsi ilivyo siwezi hata kumpa mtu kwa dakika moja...
Habari zenu wandugu, Nina simu yangu aina ya TECNO H6 nilii-upgrade kutoka kit kat mpaka lollipop 5.1.1 tatizo lililopo hii OS haisomi laini yyote mwenye maujanja aokoe hili jahazi!
Ya kwanza ni picha iliyochorwa kwa mkono kwenye karatasi, hii ni njia nzuri kwa wale wasiokuwa na drawing pad.
Na ya pili ni final out iliyofanyiwa full editing kwenye Photoshop
Nakaribisha...
Habari zenu wakuu,naomba ufafanuzi kuhusu mahusiano ya data usage statistic na speed ya internet maana mara nyingi simu yangu inaniletea "data usage warning" sasa sijui ina madhara gani mpaka...
wakuu nikienda OS kuna folder la window sasa naona laptop yangu haina kabisa space yani apo os ni GB 29 huku window folder likila 20Gb unaona nabakiwa na GB 9 tu sioni local C au D PC yenyewe ni...
Kampuni ya Samsung imetangaza kwamba itazifanya simu zote za Note 7 ziache kufanya kazi wakati hazijachomekwa kwenye charger.
Watafanya hivyo kwa kutoa software update amabayo itaji download...
kuna mdau anauliza wapi anaweza pata modem yenye uwezo wa 4G au Min Router na bei zake ili ajue NB kwenye bei apo ya dukani ni kiasi gani na mkononi kwa mtu ni kiasi gani?
CHIEF MKWAWA na wengineo naomba mnisaidie katika hili, natumia Microsoft Lumia 430 Dual Phone.
Simu yangu baadhi ya website nikifungua nashindwa ku-scroll down and up. Sielewi tatizo ni nini...
Nimeanza kujifunza game development na hii ni game yangu ya kwanza. Tafadhali ipakue play store na unipe maoni
Endless Speed Racing 2D - Android Apps on Google Play
Naomben msaada nimehangaika kuroot techno N2 kwa appsroot nyingi imegoma , ni android 6.0
Ambaye anajua njia nzuri hasa ikiwa bila kutumia Pc anisaidie
Salaam jf.
Kama header inavyojinadi. Nilitaka kujua bei ya Wireless Camera a.k.a ip cam kwa hapa tz ikiwemo na installation au bila install. Je! Naweza tumia smartphone kama ip camera.?
Mimi natumia simu, tecno y 4 ambayo ni laini, mbili, kwa laini zote . Changamoto ambayo inanisumbua Leo nimenunua laini ya univesties student, wamenisajilia vizuri tu na inapiga kazi upande laini...