Nina ka tecno h5 kangu nakatumia kusikiliza mziki mana kanakaa na chaji,ila tatizo mziki hauishi kanajizima jamani,shida ni nini???
Nishascan sd card lakin tatizo bado lipo[emoji30]....
cc...
Wanajamvi habar ya leo! Naomben msaada wa namna ya kufunga/kuondoa account yangu ya Facebook ikiwa nimesahau password yake, nasiitumii ila NAONA inatumika na mtu anapost PC zake kama vile yake ila...
Kama heading hapojuu naomba kufahamishwa jinsi ya kutengeza email address ya mfano wa 124ali@muuzamchicha.co.tz /124ali@muuzaduka.com
Natanguliza shukrani.
Naombeni msaada kwa yeyote mwenye ujuzi wa ku configure hotspot kwenye PC ili device zingine zenye kutumia internet ziweze kuwa shared.... last time nilijaribu kwa kutumia command ikawa inakataa...
Wana jamvi kwenye muelekeo wa jinsi dunia inavyokwenda sasa jambo kubwa linalotegemea kubadilisha dunia ( the next big thing) katika ulimwengu wa tehama ni swala linaloitwa internet of things kwa...
Tafadhali, natanguliza shukran za dhati, mwenye nayo kifaa, tajwa hapo juu, nimepata majanga kwa kwel nimekanyaga mwenyewe kwa hyo nikiwasha inaonesha mawino nimekosa aman kabisa. Karibu mwenye...
Nawezaje kuifunga simu iliyoibiwa ikiwa siku install app yoyote ya kuniruhusu kufanya hivyo lakini nikiwa na IMEI yake.
NB. siwezi kwenda polisi kwani risiti ilipotea. Asanteni.
Wakuuu nambeni nijuzwe namna gani naweza kucreate bios ili niweze kuenjoy PS 2 games katika pc yangu
Nakwama kwenye hiyo stage ya kucreate bios so nilikuwa naomba kwa mwenye ujuzi juu ya hili...
Habari za majukumu wana Jf ,nina laptop ambayo ina sehemu ya kuweka lain ya simu nimejaribu kuweka lakin sijaona iki fanya kazi. Naomba kujua kama inaweza kufanya kazi.
wazee ebu gonga hapa kisha tafuta jina la bara,kisha nchi kilipo kituo utakjacho,utapata s.rate,nk ambazo utaingiza kwenye receiver yako na kupata access
byabato
Habari wanajamvi
Niliacha laptop yangu nyumbani sasa mtoto amechezea sasa screen imegeuka chini juu! yaani inavyodisplay picha zake zote ndio iko hivyo.Namimi bado sio mzoefu sana
Ata sielewi...
Waungwana nadhani muko wazima
Naombeni munisaidie nataka kuandika Business Plan ila itakua ni non Profit lengo langu ni kutoa elimu juuu ya H.I.V and AIDS na Kuelimisha vijana wadogo kushuhulikia...
Habari Zenu
Kama kichwa cha habari kilivyo nimejitahidi ila nimechemka
Kinachonishangaza ni Kwamba Line Zinge Zina Support 3g
Lakini TIGO hai support 3g ina andika E.
Kampuni ya Nokia kutoka nchini Finland imesema kuwa inaishtaki kampuni ya Apple kwa kukiuka haki 32 za kiteknolojia.
Kesi hiyo ya Nokia imewasilishwa katika mahakama tatu nchini Ujerumani na...
Natumia tecno W4, nkijaribu kukonnect na pc kwa usb haisomi, au hata nikitaka kuconnect na deki ya dvd haisomi, inanipa options tatu zote hola.
Msaada wakuu nifanyeje? simu ni android 6 marshmallow.
Wanajamii!!
Ninaomba kwa anayejua anisaidie, ninataka kununua laptop nzuri na mpya kabisa. Bahati mbaya mimi si mtaalamu kabisa wa kompyuta (laptop) ingawa ninajua kutumia kifaa hicho.
Ninaomba...