Nina VISA ambayo iko connected na online transactions (Activated) nitumie website ipi ambayo ni salama na yenye bei ya chini hata kama nikisubiri kwa mda mrefu ili simu iwe na uwezo wa kutumia...
I haven't posted anything for sometime here, so i decided i could post something educative and to memorize my self a bit...
I'll assumes a working knowledge of basic shellcoding techniques, and...
Wakuu nahitaji msaada wa namna ya ku futa account ya facebook au ku disable nimejaribuwenyewe nimeshindwa hivo kwa wenye maujuzi ya hayo mambo naomba anipe mwongozo?
Hi wadau wa haya mambo ya Webhosting na Domain registration
Nimekua very anxious siku nyingi kujua walau "abc" za web hosting and domain registration sana sana ku host multiple websites mfano 20...
Habari wana JF,
Siku ya tatu leo naangaika jinsi ya kuweza ku point domain yangu iweze kuendana na server yangu ila nimeshindwa nahitaji msaada kwa hilo please domain nimenunua godady na server...
Nokia Lumia 520 software windows 8.1 Kuna application nimei download kutoka play store inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inakataa inasema not supported Na...
Nina laptop yangu ilikuja na window 7 starter kila mara ninapokuwa nafanya shughuli zangu in a display massage hiyo hapo chini Niki cancell inarudi tena na tena nikibonyeza continue bado inarudi...
Nokia Lumia 520 software windows 8.1 Kuna application nimei download kutoka play store inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inakataa inasema not supported Na...
Habari zenu wakuu!!
Kama kichwa cha habari kinavyosema naombeni msaada wa kuonganisha tecno c9 na smart tv kwa kutumia MHL cable, me nimejaribu kila lakini inagoma kwa anayejua nifanye nini...
Habari zenu wanajamvi,
naomba kuelimishwa mimi nina credit card ya Visa ya NBC nataka kuiunganisha na e-wallets mfano skrill na paypal,sasa swali langu ni je inawezekana maana akaunti ni ya Tshs...
Natumia simu aina ya Samsung s3 Neo nimepatwa na shida ya upande wa charging/battery. Nilikuwa kwenye matumizi ya simu ya kawaida baada ya charge kuisha ilizima nikaweka simu ipate charge lakin ni...
Msaada wakuu. Natumia Itel lakini nashindwa kabisa kupata gps kwenyr apps ambazo zinataka locations kama vile whatsapp na research apps.
Natanguliza shukrani zenu
Mwezi wa 9 mwaka jana mimi na jamaa yangu tulikwenda kununua TV Kariakoo na tulifanikiwa kununua tv za hii brand ya Ouling.Lkn kwa kipindi kifupi tu yaani sep 2016-jan2017 tv zote yaani ya kwangu...
wanasayansi wa UCLA wamarekani pamoja na waswiden wametengeneza compact yenye kutumia nokia 1020 kwa ajili ya kupima DNA,hii imekuja baada ya wanasayansi hao kugundua kuwa sensor ya nokia hio ndio...
How to Reset Forgotten Password In Windows. Often People Tend To Forget Thier Windows Password.
Forgetting any passoword is not fun, but luckily Here is the simple trick which i will show you to...