GPS coordinates

Godee jr

JF-Expert Member
Apr 17, 2012
1,819
2,473
Msaada wakuu. Natumia Itel lakini nashindwa kabisa kupata gps kwenyr apps ambazo zinataka locations kama vile whatsapp na research apps.
Natanguliza shukrani zenu
 
Nimeweka lakini hazikamata coordinates. Natumia gps status and toolbox
 
Back
Top Bottom