Orng'adida
Member
- Jan 30, 2012
- 38
- 4
Nokia Lumia 520 software windows 8.1 Kuna application nimei download kutoka play store inaitwa windows 10 upgrade advisor sasa nikitaka Ku upgrade to windows 10 inakataa inasema not supported Na hyo software ya windows 10 hats kwenye play store haipo Na hats Niki download kutoka google PIA Inagoma. Japo mwanzo nilikuwa natumia windows 10 ila Kuna cku nikai reset sasa shida ndo ipo hapo sasa namna ya kuipata tena hyo software Ware ya windows 10. Asante kwa msaada.