Msaada, akaunti ya visa Tshs kuiunga na e-wallets

andythelast

Member
Mar 22, 2014
65
23
Habari zenu wanajamvi,
naomba kuelimishwa mimi nina credit card ya Visa ya NBC nataka kuiunganisha na e-wallets mfano skrill na paypal,sasa swali langu ni je inawezekana maana akaunti ni ya Tshs au lazima nifungue akaunti ya Usd?

Asante
 
Si lazima ika wewe ndio utakuwa unapoteza pesa kwenye rate pale..
 
Habari zenu wanajamvi,
naomba kuelimishwa mimi nina credit card ya Visa ya NBC nataka kuiunganisha na e-wallets mfano skrill na paypal,sasa swali langu ni je inawezekana maana akaunti ni ya Tshs au lazima nifungue akaunti ya Usd?

Asante
kama unataka kwaajili ya manunuzi ya nje lazima uingie kwenye pesa ya dunia usd, lakini kama ni humo humo kwenu madafu hayafaa.
 
Unaweza kuitumia wala haina shida.... rate inaji-exchange yenyewe automatic.... mfano uwe na mastercard ya TSH hata ukisafiri kwenda nje unatoa ela kwenye ATM na inatoka ela ya nchi husika
 
Kuna siku nilitaka kununua kitu kwa PayPal walinipa exchange rate ya dola 1 kwa sh 5300.
 
Back
Top Bottom