Msaada kuonganisha simu (Tecno c 9) na tv tafadhali

Mel James

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
344
241
Habari zenu wakuu!!

Kama kichwa cha habari kinavyosema naombeni msaada wa kuonganisha tecno c9 na smart tv kwa kutumia MHL cable, me nimejaribu kila lakini inagoma kwa anayejua nifanye nini msaada plz!
 
Sorry chief mkwawa MHL ni kitu gani mkuu.
ni cable za kuunganisha tv na simu ili utumie simu kama deki kila kinachoonekana kwenye simu unakiona kwenye tv ipo kama hivi
mavEPjj1_FDflhWglv-CZaw.jpg
 
Kwenye cm yako
Nenda settn^^
Disply^^
Mirrow cast
Upande wa cm unakuwa umemaliza unaenda kwenye tv
Manu^^
Network^^
Pair dvses^^
Uttaona jina la cm yako. Kwenye cm yako itataka ukubali kupair na tv. Then unatiririka kwa chochote unachofanya kwenye cm tv inadislay bila cable wala nn"
Umenifurahisha sna eti cm ndo deki! Tehe teh...cm ni smart na kama tv ni smart huna haja ya mawaya.
Na unaweza washa hotsport kwenye cm yako ukaendelea kustrimika kwenye tv, remote ndo mause! (Kipanya)
 
mkuu hayo "mawaya" bado yanahitajika, unapostream kitu cha high quality huwezi tumia technology za wireless bila kunata nata

na si kila simu ina miracast na tv pia ni chache sana
 
Kwenye cm yako
Nenda settn^^
Disply^^
Mirrow cast
Upande wa cm unakuwa umemaliza unaenda kwenye tv
Manu^^
Network^^
Pair dvses^^
Uttaona jina la cm yako. Kwenye cm yako itataka ukubali kupair na tv. Then unatiririka kwa chochote unachofanya kwenye cm tv inadislay bila cable wala nn"
Umenifurahisha sna eti cm ndo deki! Tehe teh...cm ni smart na kama tv ni smart huna haja ya mawaya.
Na unaweza washa hotsport kwenye cm yako ukaendelea kustrimika kwenye tv, remote ndo mause! (Kipanya)

Mkuu iyo mirrow cast sijaiona!!!
 
Vipi kama tv siyo smart bali ni hizi flat za kawaida halafu nataka niunganishe simu na hiyo tv,inakuwaje hapo?
 
Basi mie natumia Kama kawaida hapa kwangu videos Au YouTube nk mambo za cable nilishasahau ! Hapo inategemea aina ya simu n tv yako inauwezo gani
 
haiwezekani mkuu, technology haidanganyi, hakuna bluetooth yoyote duniani inayoweza kustream hdtv, hio wifi yenyewe inapata shida.
 
Nimejaribu nimeshindwa aisee nipe maujanja plz!
Kwanza screen yako inabidi iwe smart kwa maana ina option za miracast or screen share simu yako nayo iwe na NFC au screen mirroring hapo uta connect wirelessly km sio hivyo simu yako iwe na option ya MHL hapo utatumia MHL cable to HDMI simu km samsung s5 ina HDMI to tv nyingine km note 4 ina option ya HDMI moja so unahitaji cable km hii
22970009d8889f1ad88121ec3eae35e8.jpg
 
Back
Top Bottom