PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,259
- 34,237
wanasayansi wa UCLA wamarekani pamoja na waswiden wametengeneza compact yenye kutumia nokia 1020 kwa ajili ya kupima DNA,hii imekuja baada ya wanasayansi hao kugundua kuwa sensor ya nokia hio ndio bora duniani
tangu mwaka 2013 pale simu hii ilipozinduliwa imekuwa imekuwa kwenye ubora kuanzia flash yake Xenon na sensor bora (zeiss optical)
simu hii itatumika kwenye kupiga picha za kiuchunguzi na vipimo(diagnosis) huku ikiwa imefungwa na kifaa kingine cha kiuchunguzi wa kupima DNA
Pia kuna tetesi kuwa nokia watakuja na ujio wa screen za IGZIO,screen ambazo zitakuwa balaa kwenye ulimwengu wa tec
hizi ni screen ambazo zina uwezo mkubwa wa kuhifadhi chaji ya simu pia zinatoa picha bora zaidi ya AMOLED
mwaka huu wapenzi wa samsung na iphone ambao wengi wao hawamjui huyu father wa tec (NOKIA) watakubali kwanini baadhi yetu tunamkubali huyu king of smartphone camera