Jagood
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 2,141
- 2,390
Natumia simu aina ya Samsung s3 Neo nimepatwa na shida ya upande wa charging/battery. Nilikuwa kwenye matumizi ya simu ya kawaida baada ya charge kuisha ilizima nikaweka simu ipate charge lakin ni zaidi ya masaa 4 haija jaa na inaonesha Ina 12% tu. Jambo ambalo sio kawaida, nimejarib kuweka battery nyingine ilikuwa na 7% nayo imeonesha inapeleka charge lakini baada ya muda nakuta charge imeshuka mpk 5% na ikazima papo hapo. Nisaidieni plz