mps
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 406
- 584
Mwezi wa 9 mwaka jana mimi na jamaa yangu tulikwenda kununua TV Kariakoo na tulifanikiwa kununua tv za hii brand ya Ouling.Lkn kwa kipindi kifupi tu yaani sep 2016-jan2017 tv zote yaani ya kwangu na ya jamaa zimekata sauti,picha iko fresh lkn sauti hazitoi nafikiria kuirudisha lkn nakosa mda.Vp kuna mwenye uelewa na hili kabla cjaenda kuvaana nao.