Hii msg inanisumbua sana kwenye laptop msaada plz..!

Nina laptop yangu ilikuja na window 7 starter kila mara ninapokuwa nafanya shughuli zangu in a display massage hiyo hapo chini Niki cancell inarudi tena na tena nikibonyeza continue bado inarudi nikaona nitoe window niirudishe tena bado msg ni ileile
Naomba msaada kwa anayefahamu namna ya kutatua.Tapatalk Cloud - Downlaoad File IMG_20170112_173529.jpg

Kuna file window inalikosa/corrupted, and the first booting device ya kuisaidia window ni CD, so the window is looking from the CD rom to feed itself the missing file!
 
Kuna file window inalikosa/corrupted, and the first booting device ya kuisaidia window ni CD, so the window is looking from the CD rom to feed itself the missing file!
Probably...sasa hapa TATIZO litakuwa lipo kwenye window au sio mkuu?
 
Je umejaribu kuweka hiyo message kama ku google na kuona wengine ilikuwaje?

Inategemea wengine ni wakiwa wanafungua program, wengine kama ulisave kitu mahala na inashindwa kusoma path hiyo

Nakurushia link ya search I hope utapata kitu kukusaidia humo.

Na kama ulitoa window, sijui ipi

Kuna videos pia za youtube labda utaona kitu, sio mbaya kujionea

taskhost.exe there is no disk in the drive. please insert a disk into drive device harddisk dr6 windows 7 - Google Search
Thanx a lot mkuu ngoja nizame nitaleta mrejesho hapa hapa
 
Wakati unaiwasha laptop yako kabla windows haijafunguka bofya F2, itafunguwa settings, nenda kwenye boot, badili from external disk to hard disk. Kisha save and exit. Restart your laptop, utakuwa OK.
 
Hapo ili kuondoa hiyo meseji weka cd kwenye mfuniko wa cd kwenye kompyuta yako kisha bofya continue alafu nenda kwenye my computer kisha chagua cd rom kisha right click kisha bofya eject.
 
Back
Top Bottom