Nashindwa kubadili password kwenye windows, naomba msaada

Nashindwa kubadili password kwenye windows, naomba msaada

Mwendabure

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
2,138
Reaction score
1,045
Wakuu, heshima mbele.

Baada ya kumuazimisha jamaa yangu Computer yangu (laptop) niliamua kubadili Password lakini inaniletea ujumbe unaosomeka.. "windows cannot change the password" nifanyeje?.

Mimi ni mtumiaji wa Computer lakini sijabobea.

Msaada tafadhalini Wa kuu!

 
fungua cmd then type control userpasswords2 then chagua user yako kisha kwa chini utaona reset password
Mkuu khalfani56, nimefanikiwa kubadili password na sasa nina amani tele. Asante na ubarikiwe sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom