Habari zenu wakuu
Wakuu, naombeni mnijuze athari ya kuroot simu, je, kuna athari yoyote ukiacha tatizo la kuharibu simu kwa kutojua kuroot simu!
(2)naomba kujua pia nini madhara ya kuwa...
Wadau habari;
Wakuu nina tatizo na simu yangu kucharge muda mrefu sana, ambako inafikisha mpaka Massa kumi na moja bado haijai, kwa SAA moja inajaza hats asilimia tano tu, hebu niambie tatizo...
Habari wanajamvi, cha kwanza kabisa unatakiwa kujua lengo kuu la website unayohitaji. Mfano, habari, michezo, biashara n.k. Hii itasaidia kujua ni script gani itakayo kufaa.
OK STEP YA KWANZA...
Wakuu habari za humu.
Naomba msaada kwa yeyote atakayeweza kufungua simu yangu aina ya LG iweze kusupport huduma za tigo pesa na m pesa.
Shukurani kwenu
Nb : Pamoja na hayo bado kwenye simu nimeweka memory card ya 4GB na sijahifadhi chochote.
Sasa wakuu suala la storage kukosekana linakuja vipi? hata app ya 5 Mb nashindwa ku download!
Please...
Natumia huawei G510 yaani inanipa shida sana kila nikitaka kuingia fb inazimika. Nashindwa kubaini tatizo ni nini.
Pia najaribu kuingiza link ya kupata TV za hapa Tanzania inagoma. Msaada tafadhali
Wakuu natumia device ya Lenovo na IWAPO TUU nikitumia SIM CARD ya AIRTEL na nikifungua Data, my device automatically GPS inajiswitch on!! Hata kama nikiswitch off!! After 40 or 30 second...
Habari wanajamvi
Nahitaji msaada,simu yangu inazima hovyo hovyo,tena nikiwasha internet ndo balaa, mwenye utaalam namna ya kuifanya irudi ktk hali yake nisaidie tafadhali.
Shukrani.
TAIFA A3 LAPTOP
The TAIFA Brand Laptop is a product of the Nairobi Industrial and Technological Park (NITP). NITP is a kenyan vision 2030 flagship project between Jomo Kenyatta University of...
Habar wana tekinolojia naomba msaada juu uwezekano wa kupata simu ya samsum mpya original kwa shillingi laki tatu tu
mfano samsung j5 au S4 au note3 au yeyote yeyote yenye angalau kioo kikubwa kidogo