Tatizo la simu kucharge muda mrefu.

Charles Gerald

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
1,394
1,816
Wadau habari;

Wakuu nina tatizo na simu yangu kucharge muda mrefu sana, ambako inafikisha mpaka Massa kumi na moja bado haijai, kwa SAA moja inajaza hats asilimia tano tu, hebu niambie tatizo linaweza kuwa nini?

Je, ninapaswa labda kubadili betry ya simu.
 
Chaja ni fake cm.. Nyng za smartphone uktumia chaja ambayo cyo yake inatumia hata cku nzma kujaa badl chaja
 
Lakini mkuu zamani tatizo halikuwepo, limejitokeza kama wiki mbili now, charger pia nimebadili juzi lakini bado tatizo linaendelea.
 
ili simu ichaji kwa muda sahihi inahitajika chaja yenye CURRENT zilizocompatable na Simu, ampere zitaitajika katika battery ziwe zimesupportiana.
ikiwa tatizo lilianza muda mfupi awali lilikua halipo , angali kama umefanya android update au kama kuna rooting method au mod inaweza changia kwa kiasi kikubwa
 
Wadau habari;

Wakuu nina tatizo na simu yangu kucharge muda mrefu sana, ambako inafikisha mpaka Massa kumi na moja bado haijai, kwa SAA moja inajaza hats asilimia tano tu, hebu niambie tatizo linaweza kuwa nini?

Je, ninapaswa labda kubadili betry ya simu.
Pole sana mkuu.
Hili ni tatizo linalowakumba wengi na limewahi kunikumba mimi nikiwa na HTC One XL, baada ya kufuatilia niligundua kwamba shida ilikua kwenye upande wa charger na USB.
Kwa upande wa charger unatakiwa kuzingatia output voltage iendane na input voltage ya betri/simu yako.
Upande wa USB Cable nao ni muhimu kuhakikisha unatumia cable inayokuja na simu lakini kama imeharibika jaribu kupata cable kutoka kwenye kampuni husika bila kujali model ya simu.

Licha ya mambo hayo mawili ambayo nimezungumzia kutokana na experience kuna mengine nimeyaona kwa watumiaji wengine wenye tatizo kama hilo ni haya:-
Ubovu wa betri ya simu kutokana na urefu wa muda wa matumizi haswa kwa simu ambazo zimetumika(used)
Ubovu wa charging port ("charging system") ambayo baada ya matumizi ya muda mrefu inaweza kulegea ay kupoteza baadhi ya pin.
Matumizi makubwa wakati simu ikiwa kwenye chaji. (jaribu kuizima simu au kuweka Airplane mode wakati ikiwa kwenye chaji)
Pia ningependa kujua model ya simu yako kama utahitaji msaada zaidi mkuu.
 
Back
Top Bottom