Ku-root na ku-installed apps nyingi kuna athiri vipi simu ?

Ku-root na ku-installed apps nyingi kuna athiri vipi simu ?

Stamina

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
1,040
Reaction score
590
Habari zenu wakuu


Wakuu, naombeni mnijuze athari ya kuroot simu, je, kuna athari yoyote ukiacha tatizo la kuharibu simu kwa kutojua kuroot simu!

(2)naomba kujua pia nini madhara ya kuwa na apps nyingi kwenye simu? Na je, ukiwa na apps nyingi simu inakuwa słów?

(3)je, naweza ku-installed apps bila kuroot simu au apps nyingine ni lazima ni ropy simu kwanza?

(4)je, ram ya simu yangu ikiwa ndogo mfano. 512mb, au 1gb ram, inaweza kuathiri utendaji wa simu kwenye kasi ya kufunguka kwa ma-file au kurun apps? Au hilo ni suala la cpu na gpu halihusiani na ram?

(5)Mwisho kuna hili suala la kuwa na ant viruses kwenye simu za Android je, ni kweli kuwa hakuna Haja sana kuwa na ant viruse kwenye Android ?

Asanteni natumai mmenisoma
 
Yaa ukiweka app nying kwenye simu inaifanya iwe slow na in a stack sana coz messenger nyingne

Co laxma kureboot cmu unawex kuunstall 2 kawaida

Ram of coz inafanya simu yko iwe na uwezo mkubwa na kuwa fasta kufanya kaz pamoja na GHz

And then simu x android co laxma kuwa na antivirus coz cjaona umuhumu wake
 
Yaa ukiweka app nying kwenye simu inaifanya iwe slow na in a stack sana coz messenger nyingne

Co laxma kureboot cmu unawex kuunstall 2 kawaida

Ram of coz inafanya simu yko iwe na uwezo mkubwa na kuwa fasta kufanya kaz pamoja na GHz

And then simu x android co laxma kuwa na antivirus coz cjaona umuhumu wake

Asante mkuu,

Kwahiyo unataka kuniambia Android phones haziwezi kukumbwa na viruses? Au uwezekano wa Android phones kupata viruses ni mdogo sana. Mkuu?
 
kama unaroot uwe na huelewa nini unachokifanya kwa lengo gani. Ukikosea steps zake za kuroot unaweza ukauwa phone yako..

Swala anti-virus kwa simu za sasa smartphone uwezekano wa kutumiwa au kupata virus kipitia(bluetooth,Email,USB etc). Ni option yako install au uninstall..

Simu kuwa na app nyingi nakufanya phone kurun slow ni kwasababu unakuta app nyingi zinarun at the time kwa trick au ushauri jaribu kutumia App Killer..

Ni Ushari
 
kuroot labda kama unataka kufanya modification ya simu yako kama kuweka custom recovery, custom rom hata boot animation pia kuremove system apps ambazo hzitumii
 
Kuroot kuna faida zaid, we una cm imetoka na You Tube, ambayo huwez kudownload kitu, unaweka tena You Tube downloader, tayar unakuwa na You Tube mbili, ukiroot unaweza futa mojawapo hata kama ipo katika system ambazo kikawaida huwez zifuta.

Pia unaweza amua app uliyo install kuiweka ikawa system app, kias hata ukireset simu hyo app haitofutika na itabak kwa cm,

Halafu kuna kuweka program ambazo kikawaida ucngeweza ztumia bila root access, kama hzo task killers
 
Back
Top Bottom