Habari,
Niliwahi soma oracle nikiwa chuo ila hatukupewa cheti nahitaji mahali apa dar es salaam niweze kufanya mtihani na kuwa oracle certified napenda kujua na gharama kabisa.
Nitashukuru nikijibiwa.
Siku jumamosi nilikabwa nikanyang'anywa simu yangu bahati nzuri nikafanikiwa kubaki na mmoja wa hao watu wakabaji.kwa sasa Mimi ninajiuliza nitaipataje maana hata aliyekamatwa kagoma kutoa...
Haya wadau wa game la SIMCITY tuje hapa.
Mwenye utundu wa jinsi ya kupata free coin aiseeh aumwage hapa maana nina siku kama tatu hivi sina pesa na raia hazina umeme, maji hamna ,maji machafu...
Habari mkuu..
As stated above...
Nahitaji msaada kwa watalaam namna ya kuandaa link ambayo mtu anaweza kuifuata na hatimaye kujiunga na group moja kwa moja. ASANTE!
wakuu nahitaji msaada keyboard ya PC imemwagikiwa na chai ya moto na baadhi ya sehemu zimekuwa nzito kuzibonyeza je vipi naweza kuzirudisha katika hali ya kawaida.
Habari wakuu,
Nilifanikiwa kufuatilia ule uzi wa Wickerman kuhusiana na Unlocking MODEM ya E3372h-153 na kufikia kwenye option ya kuhitaji unlock codes. Kama kuna mtu ambaye anauza hizi unlock...
Habar wana jf Nina simu w4 lain one haipandishi 3G nimejaribu kwenda kwenye setting pale preference network inaniambia niingize network ID kwa anayejua please!!!
Kampuni ya utengenezaji magari ya Toyota, ambayo imefadhili utengenezaji wa gari inayoruka angani ikiwa ni mradi uitwao Cartivator Project, yamepanga kuzinduliwa mwaka 2020 katika mashindano ya...
S5 has corrupted its OS ... So it uses a temporary OS of techno' now can you help me to return back its OS system as it is? Nakama ni pesa inahitajika kiasi gani ili niweze kufanikisha coz warrant...
Nina Camera yangu Canon EOS 7D, nilikuwa naitumia vizuri leo nikiwa kwenye zoezi la kupiga picha Camera ikakataa kupiga na inaandika, CARD CANNOT BE ACCESSED.REINSERT/CHANGE THE CARD OR FORMAT...
Nahitaji kufanya kazi kahama city.
Nifundi Wa hardware na software.
Sibahatishi kazi naijua simu.
Nimwaminifu sipendi utapeli.
Kiimani ni mlokole,moto.
Nina vifaa vyote vya kazi
Yaani flash...