Nifundi simu Natafuta office Kahama

zamkallytel

Member
Jul 31, 2015
31
13
Nahitaji kufanya kazi kahama city.
Nifundi Wa hardware na software.
Sibahatishi kazi naijua simu.
Nimwaminifu sipendi utapeli.
Kiimani ni mlokole,moto.
Nina vifaa vyote vya kazi
Yaani flash boxes7,na hardware tools.
Nahitaji mahala pazuri penye utulivu na
Sifanzuri.

Sishiki dawa,kama una ofisi nicheki
763949447,nauzoefu mkubwasana.naipenda kahama
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom