HELP... HELP...HELP... PLEASE!!

madibadc

Member
May 1, 2016
12
1
Nina Camera yangu Canon EOS 7D, nilikuwa naitumia vizuri leo nikiwa kwenye zoezi la kupiga picha Camera ikakataa kupiga na inaandika, CARD CANNOT BE ACCESSED.REINSERT/CHANGE THE CARD OR FORMAT. nikiformat inaandika CANNOT FORMAT CHANGE CARD...nikakimbia dukani kununua mpya nikaweka inasoma hivohivo....card nazotumia ni SanDisk Utra 32GB
NAOMBA MSAADA JAMANI MWENYE KUJUA NAFANYA NINI HAPA?
 
Umejaribu kuhakikisha kama kadi ni nzima kupitia vifaa vingine vinavyoweza kusoma kadi kama hizo? Eg computer, camera nyingine?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom