Mgumu04
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 1,934
- 1,043
Husika na kichwa cha habari hapo juu, nilikuwa na google adsence account youtube channel , baadaye nikapata wazo la ku upgrade wakaniambia lazima niwe na top domain nikanunua godaddy kisha nikafungua blog yangu na kuforward domain.
Sikuishia hapo kwa sababu madhumuni yangu ilikuwa nikupata google ads nikaomba wakasema blog ina contents chache nafupi nikarekebisha mistakes nikaomba tena mara ya pili wakazingua wakaniambia kuna links amabazo hazifanyi kazi.
Baada ya kurekebisha links nikaomba kwa mara ya tatu siku iliyofuata wakanitumia email ya kuwa approved. kwa vile kizuri kula na nduguyo nimeamua kushare na wana jamvii, cha msingi ni kuthubutu na sio kuambiwa tu.
Kama utakuwa na swali uliza nipo ili tusaidiane.