Msaada:wakuu simu yangu ina matatizo ya kuandika emergency call

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,642
2,466
Hii ni simu ilikuwa ikiandika emergency cally only nilikuwa naflash then inarudi ktk khali yake lakini leo hii nimeiflash tatizo liko pale pale ,
182430a2cf0fbef1face51fa4daa14d8.jpg


Nimeweka firmware tofauti tofauti lkn ugonjwa ni ule ule kwa mwenye msaada zaidi au ambaye anajua solutioni ya hii simu inayoandika emergency calls only aniasaidie maana ni samsung s4 mini SGH -I257 basebande na kila kitu kipo sawa lkn ukiweka laini inabakia kuandika emergency calls onyl
f7f6077abaa25fc009e57f0c1cf271eb.jpg


Au naweza peleka kwa mafundi wataalam wa hardware wakanisaidia ikapona kabisa Au mpk nibadili saketi ?

NAOMBENI USHAURI WENU
 
Check original IMEI namba zote kama zipo correct na device yako.... Kama inasoma inviled au null unatakiwa kufanya repair ya IMEI....
 
Back
Top Bottom