HABARI WAKUU.NAOMBENI MSAADA NAHITAJI CIRCUIT YA SAMSUNG S4 MINI SGH-I257

ashomile

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
2,622
2,428
Jamani hii simu muda wote inaandika emergency calls only nimeona solution yake ni ngumu kuipata now natafuta saketi ya hii simu ni samsung ya korea ,naombeni mwenye saketi tuwasiliane popote alipo mm nitamtafuta ili niweke saketi mpya maana naona simu yangu inanichanganya mnoo .

Mawasiliano :0629166514
 
Back
Top Bottom