mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,502
Habari wakuu,
Nilikua naangalia live launch of One Plus 5 ambayo imefanyika mda mchache uliopita nchini China.
And kwa nilichokiona hii ndo inaweza kuwa simu bora kwangu kwa mwaka huu kutokana na vitu vikuu vitatu.
1. Affordability-Bei yake itakua inaanzia Euro 479
2. Specs-nitaleta list ya comprehensive specs baadaye ila kinilichoni'impress ni 8gb of RAM na 835 snapdragon chip. Hii itasaidia sana kupunguza lagging especially kwa wale heavy users wa online games.
3. Cha tatu ni camera-nyuma kuna camera mbili. Moja ina megapixel 20 na nyingine 16 moja ikiwa na aperture of 1.7 na nyingine ina aperture ya 2.6 kuzipa picha quality ya almost dslr cameras.
Naleta picha zaidi hapa chini.
Kama unataka kurudia kuangalia the live event link hii hapa.
OnePlus 5 - Launch Live Event - YouTube
Kwa nyuma inaonekana hivi. Italeta kelele kwamba wamecopy muundo kutoka kwa iphone 7 plus lakin hii ni kuboresha picture quality. Iphone 8 kuna leaks zinaonyesha kwamba wamecopy display ya samsung 8 so isiwe issue Oneplus kufanya hivi.