Building Design By Autocad

Khan

JF-Expert Member
Dec 6, 2012
6,105
2,000
Wanandugu Nina Shida ya Haraka i hope kuna wazoefu hapa sasa kesho nina Paper la Civil Engineering Drawings sasa ukiachana na kuchora kuna Mambo kidogo hatukuwekewa wazi kama ifuatavyo.
1.To find number of strips and spacing in column.
2. To describe or identify type of steel used
3.Reinforcement Mark

Hivyo Tu wadau wangu Nisaidieni nina UE nayo asubuhi sana Kesho! au kama unajua Link wameweka hayo Maelezo Nisaidieni!

Natanguliza shukrani Zangu za Dhati!

TheMason
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom