Habari wadau; Wapi naweza kupata kioo cha laptop HP 6930p kwa bei nafuu(hata cha mtumba). Kwa anayefahamu tafadhali, naomba msaada.