uswahilini

uswahilini

Peter Majaliwa

Senior Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
161
Reaction score
30
Kwa heshima na unyenyekevu mwingi tunapenda kuwataarifu watu wote kuwa tumefungua forum mpya inayohusu maisha halisi ya kitanzania ijulikanayo kama uswahilini.forumotion.com ambayo utaweza kuweka post zinazohusu maisha ya uswazi na kubadilishana mawazo na watu wengine ambao wamekwisha jiunga na mtandao wetu japokuwa maboresho bado yanaendelea kwa ushauri na maoni unaweza kutupa ambayo yanaweza kujenga na kuendeleza mtandao wetu asanteni kwa muda wenu by Peter majaliwa
 
Back
Top Bottom