Msaada wa haraka kuhusu telebox Tanzania

Mkono Mkavu

Member
Joined
Dec 22, 2016
Posts
70
Reaction score
70
Kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hii app aliyoigundua mtanzania mwenzetu inayoitwa TELBOX TANZANIA kwa ajili ya kuhang taarifa za simu nyingine.
Naomba kufajamishwa kwa wale tulioko nje ya nchi na hatuwezi kuaccess matumizi ya tigo pesa na mpesa tufanyeje malipo ili kuitumia hii app?? Na je kuna uwezekano huo au ni kwa ajili ya walio nchini tu. Msaada tafadhari.
 
tafuta mtu alie bongo akulipie mkuu
 
Sina taarifa inayojitosheleza juu ya hii app kumbe naomba wajuzi mnisaidie maana nasikia imetumika kunasa taarifa za siri za bashite
Mkuu kuwa makini, kuna kipindi niliona taarifa zisemazo hiyo app ni ya kitapeli
 
Mtaliwa pesa zenu bure! Ni kosa la jinai kudukua faragha za mawasiliano ya mtu/watu! Isipokua taasisi nyeti ya serikali ndo inamamlaka yakudukua faragha za mawasiliano ya watu au mtu
 
Poleni mnaosema ni yakitapeli ni bonge moja ya app hasa kwa kumfuatilia mpenzi au mke ambaye unadhani unaibiwa. Sisi tupo tunaenjoy tu na telbox Tanzania kwa elfu 45 tu
 
Hao ni matepeli mkuu,ukituma hela wakutumie activation code ndio imekula kwako…
Utasubiri mpaka pombe itoke madarakani
Kwa yeyote mwenye ujuzi juu ya hii app aliyoigundua mtanzania mwenzetu inayoitwa TELBOX TANZANIA kwa ajili ya kuhang taarifa za simu nyingine.
Naomba kufajamishwa kwa wale tulioko nje ya nchi na hatuwezi kuaccess matumizi ya tigo pesa na mpesa tufanyeje malipo ili kuitumia hii app?? Na je kuna uwezekano huo au ni kwa ajili ya walio nchini tu. Msaada tafadhari.
 
Unapata raha gani kudanganya watu? Au na wewe ni miongoni mwao upo hapa kuwapigia promo!!

Hao jamaa ni matapeli,period!
Poleni mnaosema ni yakitapeli ni bonge moja ya app hasa kwa kumfuatilia mpenzi au mke ambaye unadhani unaibiwa. Sisi tupo tunaenjoy tu na telbox Tanzania kwa elfu 45 tu
 
Unapata raha gani kudanganya watu? Au na wewe ni miongoni mwao upo hapa kuwapigia promo!!

Hao jamaa ni matapeli,period!
Asante sana kwa kunistua maaana niko nje ya nchi kumbe nilitaja kujiridhisha na hiki
 
Uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii uuuuuuwiiii
 
Poleni mnaosema ni yakitapeli ni bonge moja ya app hasa kwa kumfuatilia mpenzi au mke ambaye unadhani unaibiwa. Sisi tupo tunaenjoy tu na telbox Tanzania kwa elfu 45 tu
Na wewe utakuwa mmoja ya wanaotaka wenzako waibiwe kwa akili ya kawaida kuhack simu ya mtu haijawahi kuwa rahisi hivyo eti unaweka namba una click tayari.
Waliojaribu wameliwa ela yao kwa kudanganywa watatumiwa activation code lakini hollah
 
Back
Top Bottom