R Retired JF-Expert Member Jul 22, 2016 40,382 73,978 Jun 13, 2017 #1 Naomba mwenye kujua namna ya kuomba kufanyiwa official search wizara ya ardhi anisaidie please.
R Richard Njau Senior Member Jan 12, 2012 114 104 Jun 30, 2017 #2 Unaenda wizara ya ardhi unajaza fomu na kulipia elfu 40 , kisha unarudi kuifuata baada ya wiki 2