Hiyo Aptoide inakubali mpaka sasa au?Mkuu mi nlikuwa natumia Aptoide ku download application free sijui sa hivi
nimebadilisha simu now but we ingia Google kupitia ucbrowser andika Aptoide apk itakuja utadownload , then kwenye kuseaech utaandika hiyo program inayozwa utakuta freeHiyo Aptoide inakubali mpaka sasa au?
Mbona aitakiii
Mbona kwangu inafunguka!! Usitumie Opera, tumia browser ya simu au chrome kama uko nayoMbona aitakiii