Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Amani kweni wanajamii forums.Naomba nisaidie please.Kila nikitaka kudownload game katika laptop inaniandikia (The program can't start because MSVCP100.DLL is missing from your computer.Try...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
waungwana, naomba msaada nifanye nini ili laptop yangu uwake. Jana nilikuwa nafanya kazi muhimu sna, wakati nataka kuiattach Kwenye email battery ilikuwa very low. Kwahiyo kitendo cha kuchukua...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Mimi nawaza kutafuta Huawei baada ya kusikia tecno ni vimeo. Naomba wenye kuzijua watufafanulie ubora wake na mapungufu yake. Kwasababu nimekua sizioni sana Huawei madukani kama miaka ya nyuma...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Ni Three in One, (Prnter,Scanner,Copier) Printer ipo Dodoma! ni nzma na ina fanya kazi vizuri kabisa. tuwasiliane kwa 0739-943684
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima yenu wakuu! Msaada tutani simu yangu ya android kila mara ikionyesha kua memory is not enough kwenye DCIM nikifungua nakutana na thumbimages nikidelete inakua na free storage ya kutosha...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu naomba mnisaidie apps zote za elimu ambazo ni rafiki kwa kujifunza masomo mbalimbali ya advance hasa art. pia naomba mnisaidie app ya kubadili audio ya lugha yoyote ile kuwa English...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kampuni ya simu ya Tecno Mobile, ina taarifa njema kwa watumiaji wa simu janja Tanzania. Tecno mobile inatarajia kuingiza sokoni simu mpya TECNO L9 plus sokoni hivyo kampuni hiyo imetoa nafasi ya...
1 Reactions
26 Replies
10K Views
habari wadau,naomba mwenye kujua links za kustream mechi za mpira kwa kutumia mx player aniwekee hapa.
0 Reactions
2 Replies
722 Views
Ninasimu aina ya PHILIPS Xenium w6618 imevunjika kioo naomba msaada pakuipata screen imekufa kabisa siwezi kufanya chochote ila inawaka. Natanguliza shukrani kwanza
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Jamaa wakuu nifundisheni jinsi ya kuunganisha USB internet kweny pc msaada
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wataalamu wa jukwaa hili.Simu yangu aina ya Tecno J7 haina uwezo wa kufungua file zinazotumwa zikiwa kwenye mfumo wa pdf,nitumie njia ipi niweze kufungua file hizo? Ahsanteni sana.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Jamani corrupted document unaweza kuirekebisha vipi ikafunguka. Nimetumiwa doc , pdf lakini inasema corrupted haifunguki. Nifanyeje.
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Wakuu naomba msaada nahitaji kununua tablet yenye OS ya microsoft windows ambayo nitaweza install applications za computer kama kawaida na iwe touchscreen. Nasubiri michango yenu wana Jamii, Thanks.
1 Reactions
37 Replies
4K Views
Kwa muda mrefu nimekuwa nikipekua na kutafuta Apps za Christian Gospel Hymns za kiswahili bila mafanikio, Apps za Biblia ya kiswahili zipo na zinasaidia sana katika handset zetu. Wataalam wa Apps...
6 Reactions
36 Replies
14K Views
Msaada tafadhali jinsi ya post video yenye sekunde zaidi ya 30 kwenye my status whatsapp unafanyaje..?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu najua Kuna mashuja wa simu humu vipi apo ipi simu ya kijanja
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wana jf, naomba msaada jinsi ya ku activate OTG cable ktk android phone yangu
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu habari za leo, Naomba mnisaidie mwenye uelewa na simu aina ya infinix, nashindwa kuelewa nilikuwa nimezima naichaji nimeamua niwashe ikatokea maneno ya kichina hayaeleweki, Simu ikagoma...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna mtu ananiuzia C8 tecno Wakuu kabla sija ibiwa Nipeni maujuzi Wakuu imetumika lakini.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama gharama za hosting zimekuwa ngumu basi waje kwangu niwahostie hata bure tu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…