Eric Mkomoya
Member
- Oct 10, 2014
- 55
- 56
Kampuni ya simu ya Tecno Mobile, ina taarifa njema kwa watumiaji wa simu janja Tanzania. Tecno mobile inatarajia kuingiza sokoni simu mpya TECNO L9 plus sokoni hivyo kampuni hiyo imetoa nafasi ya upendeleo kwa wapenzi simu hizo kuweka oda mapema ili waipate kabla ya wateja wengine madukani.
Simu ya TECNO L9 plus inasifika kwa kua na uwezo mkubwa wa betri, linaweza kukaa na chaji hadi masaa sabini na mbili bila kuishiwa nguvu, betri la simu hii ni 5000 mAh, lakini pia simu hii inakuja ikiwa na aina mpya ya usalama katika simu imewekewa usalama wa alama ya vidole. TECNO L9 plus ina kamera yenye megapixel 13 kwa nyuma na 5 kwa kamera ya mbele huku ikiwa na kioo kikubwa cha inchi 6 kinachomwezesha mtumiaji kuangalia video vizuri,
Kitu cha kustaajabisha kuhusu TECNO L9 plus ni kua simu hii inapoisha chaji mtumiaji anaweza kuichaji kwa muda wa dakika tano tu (5) na akaweza kupiga picha zaidi ya elfu moja (1000), ina uwezo wa kuchaji haraka zaidi na kuokoa muda wa mtumiaji kuisubiria simu wakati kuna mambo mengine anataka kufanya.
Wateja wanatakiwa kuweka oda mapema ili waweze kuipata simu hii pamoja na zawadi zenye thamani ya laki moja kutoka kampuni ya Tecno Mobile, Mteja anatakiwa kulipa kiasi cha shilingi 30,000 tu, atakua ameweza kuingia katika list ya kupata zawadi hizo ambazo ni headphone maarufu za Boom pamoja Begi la mgongoni zawadi hizi ni kwa wateja walioweka oda na wataweza zichukua siku watakayokua wanakabidhiwa simu zao mara tu zitakapofika Tanzania katikati ya mwezi wa tatu.
Kampuni ya Tecno Tanzania imepanga tarehe 21 mwezi wa tatu kua ndio siku wateja walioweka oda ya TECNO L9 plus watakabidhiwa simu zao eneo la City Mall Dar es Salaam, iliyopo makutano ya Bibi Titi na Morogoro road muda wa saa tisa alasiri.
Wateja na wapenzi wa simu za Tecno watatakiwa kuweka oda zao katika maduka yafuatayo yanayopatikana jijini Dar es salaam, kuanzia tarehe 10 machi mpaka tarehe 20 machi 2017
(Matangazo yanayoelezea jinis kuweka oda ya simu ya L9 plus
Maduka na meneo yanakopatikana ambapo wateja wanaweza kuweka oda mapema
TECNO Exclusive Mobimart Dar Shop,kariakoo
TECNO exclusive Mobile plaza Dar shop
Kariakoo,Uhuru street
Freedom 4 Kariakoo, Msimbazi road
TECNO exclusive City mall Dar shop
Posta, Bibi titi and morogoro road corner.
Jumbo Creation LTD,Posta
RAM 3,Kariakoo
Electro Point,Posta, Samora
Philipino, Posta , Clock tower
Freedom Electronics 1,Posta, opposite JM Mall
SAPNA 1,Posta , Saomra street
Phone 1 Mlimani A
Mlimana city mall